Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni.
Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa kisheria ila yote haya ni matumizi mabovu ya fedha za umma.
Vile vile malipo hayo ya posho hayana tofauti na malipo ya posho wanazolipwa Wajumbe wa Bodi za taasisi za umma(wizi mtupu).
Huyo Majaliwa sijui anapata wapi uhalali wa kushangaa watu kujilipa hizo posho ili hali wenyewe wanalipana posho za aina hiyo Bungeni tena kwa kukaa tu.
Watanzania tungekuwa tunajitambu, tungeungana kwanza kupinga sitting allowance za wabunge pamoja na kutaka waliohusika na ubadhirifu wa fedha za umma kulingana na ripoti ya CAG wawajibishwe kabla ya kutaka hawa mchwa wadowadogo kama hao wa wizara ya fedha wawajibishwe.