Posho walizolipana watendaji wa wizara ya fedha hazina tofauti na posho za kukaa wanazolipwa wabunge

Hizo posho zipo taasisi za umma karibu zote. Kwa mfano mei mosi watumishi hawawezi kwenda kwenye maadhimisho bila malipo, kila mmoja atabaki nyumbani kwake. Hata majaliwa analijua hilo.

Na hizo 'special task' kwa mujibu wa kanuni ni 'extra duty', lazima mtumishi alipwe. Huwezi kumtoa mtumishi dar kumtuma aende kwenye kikao dodoma cha kutengeneza sera kwa wiki tatu bila kumlipa full per diem.

PM amepotoshwa, kwasababu hata delegate yake anayo tembea nayo inalipwa posho hizo.
Mwisho wa siku mambo yataisha kimyakimya.
 
Kama mama hatakunjua makucha kwa wizi wote uliofanyika,hali itakuwa mbaya kuliko hata kwa JK
...kwa maoni yangu asafishe wizara yote ya fedha, toka waziri mpaka mfagizi, kupata kazi kwa vimemo huko mfumo huo uishe, watu waingie kwa sifa
 
Hizo posho zipo taasisi za umma karibu zote. Kwa mfano mei mosi watumishi hawawezi kwenda kwenye maadhimisho bila malipo, kila mmoja atabaki nyumbani kwake. Hata majaliwa analijua hilo.

Na hizo 'special task' kwa mujibu wa kanuni ni 'extra duty', lazima mtumishi alipwe. Huwezi kumtoa mtumishi dar kumtuma aende kwenye kikao dodoma cha kutengeneza sera kwa wiki tatu bila kumlipa full per diem.

PM amepotoshwa, kwasababu hata delegate yake anayo tembea nayo inalipwa posho hizo.
Ni sahihi hoja yako.

Mtumishi analipwa mshahara, hivyo basi hastahili malipo mengine yoyote akiwa kwenye eneo lake la kazi. Kama hao watuhumiwa walitoka nje ya Dodoma kwa kazi maalumu, basi walistahili posho ya kujikimu. Labda swali ni litakuwa uhalali wa hiyo "kazi maalumu" na wa kuwajibika ni yule aliyeipanga.

Ili sheria ichukue mkondo wake kwa hao watuhumiwa, sheria na kanuni za stahiki za mtumishi wa umma zipitiwe upya.
 
Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni.

Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa kisheria ila yote haya ni matumizi mabovu ya fedha za umma.

Ville vile malipo hayo ya posho hayana tofauti na malipo ya posho wanazolipwa Wajumbe wa Bodi za taasisi za umma(wizi mtupu).

Huyo Majaliwa sijui anapata wapi uhalali wa kushangaa watu kujilipa hizo posho ili hali wenyewe wanalipana posho za aina hiyo Bungeni tena kwa kukaa tu.

Watanzania tungekuwa tunajitambu, tungeungana kwanza kupinga sitting allowance za wabunge pamoja na kutaka waliohusika na ubadhirifu wa fedha za umma kulingana na ripoti ya CAG wawajibishwe kabla ya kutaka hawa mchwa wadowadogo kama hao wa wizara ya fedha wawajibishwe.
Inaonesha una maslahi binafsi na hizo posho
 
Jiulize kama wizara zote zitalipana posho kwa staili hii, nchi itabaki na nini hhahahhah..................................
 
Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni.

Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa kisheria ila yote haya ni matumizi mabovu ya fedha za umma.

Ville vile malipo hayo ya posho hayana tofauti na malipo ya posho wanazolipwa Wajumbe wa Bodi za taasisi za umma(wizi mtupu).

Huyo Majaliwa sijui anapata wapi uhalali wa kushangaa watu kujilipa hizo posho ili hali wenyewe wanalipana posho za aina hiyo Bungeni tena kwa kukaa tu.

Watanzania tungekuwa tunajitambu, tungeungana kwanza kupinga sitting allowance za wabunge pamoja na kutaka waliohusika na ubadhirifu wa fedha za umma kulingana na ripoti ya CAG wawajibishwe kabla ya kutaka hawa mchwa wadowadogo kama hao wa wizara ya fedha wawajibishwe.
Kwa sasa hivi kwa taarifa yako bungeni hakuna tena posho zile za sitting allowance,kuna d.s.a tu ya posho ya kujikimu kwa siku hao maofisa,ngoja hilo suala lichunguzwe na zitawatokea puani
 
Uko sahihi kabisa, pia watu wafuatilie zile pesa za watu kuunga juhudi zilitoka wapi. Hao watumishi wa wizara ya fedha waliamua kujiongeza maana walikuwa wanajua jinsi pesa zilivyokuwa zinachotwa kihuni.

Kubwa kuliko yote, watuwekee ile ripoti ya BoT ya januari to March tuone hali ilivyokuwa. Mbona ripoti ile inafichwa kuna nini?
Haya
IMG-20210529-WA0020.jpeg
 
Ukitaka kujua hasira za mlevi mwaga pombe yake
Hut tu mlevi mavi ndiyo adui namb Moja Tanzania

Hivi vipuuz ndiyo mchwa ambavyo vinawapa kibri madiwamavi.. vinakuwa na jeuri kubwa kuwahoji watu na elimu xao

Eti tutakuazimia...maaanina
 
Uko sahihi kabisa, pia watu wafuatilie zile pesa za watu kuunga juhudi zilitoka wapi. Hao watumishi wa wizara ya fedha waliamua kujiongeza maana walikuwa wanajua jinsi pesa zilivyokuwa zinachotwa kihuni.

Kubwa kuliko yote, watuwekee ile ripoti ya BoT ya januari to March tuone hali ilivyokuwa. Mbona ripoti ile inafichwa kuna nini?
Inafichwa kwa sababu,nchi hii ukianza urais Unaanza na sifuri,huenda Maroli yamesomba pesa yote BoT,haiwezekani kila kitu kiwe hovyo namba hii.
 
Back
Top Bottom