Posho walizolipana watendaji wa wizara ya fedha hazina tofauti na posho za kukaa wanazolipwa wabunge

Mwisho wa siku mambo yataisha kimyakimya.
 
Kama mama hatakunjua makucha kwa wizi wote uliofanyika,hali itakuwa mbaya kuliko hata kwa JK
...kwa maoni yangu asafishe wizara yote ya fedha, toka waziri mpaka mfagizi, kupata kazi kwa vimemo huko mfumo huo uishe, watu waingie kwa sifa
 
Ni sahihi hoja yako.

Mtumishi analipwa mshahara, hivyo basi hastahili malipo mengine yoyote akiwa kwenye eneo lake la kazi. Kama hao watuhumiwa walitoka nje ya Dodoma kwa kazi maalumu, basi walistahili posho ya kujikimu. Labda swali ni litakuwa uhalali wa hiyo "kazi maalumu" na wa kuwajibika ni yule aliyeipanga.

Ili sheria ichukue mkondo wake kwa hao watuhumiwa, sheria na kanuni za stahiki za mtumishi wa umma zipitiwe upya.
 
Inaonesha una maslahi binafsi na hizo posho
 
Jiulize kama wizara zote zitalipana posho kwa staili hii, nchi itabaki na nini hhahahhah..................................
 
Kwa sasa hivi kwa taarifa yako bungeni hakuna tena posho zile za sitting allowance,kuna d.s.a tu ya posho ya kujikimu kwa siku hao maofisa,ngoja hilo suala lichunguzwe na zitawatokea puani
 
Haya
 
Ukitaka kujua hasira za mlevi mwaga pombe yake
Hut tu mlevi mavi ndiyo adui namb Moja Tanzania

Hivi vipuuz ndiyo mchwa ambavyo vinawapa kibri madiwamavi.. vinakuwa na jeuri kubwa kuwahoji watu na elimu xao

Eti tutakuazimia...maaanina
 
Inafichwa kwa sababu,nchi hii ukianza urais Unaanza na sifuri,huenda Maroli yamesomba pesa yote BoT,haiwezekani kila kitu kiwe hovyo namba hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…