Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

Bongo watu hawa value kabisa taaluma za watu......si ajabu impact ya wataalamu wetu haionekani kwa hizi dharau, eti mil. 2 ndo mtu anaona mtaalamu kalipwa pesa ndefu....
Hahahahaaaa labda ni wivu tu ndio unawasumbua
 
Nimebaki nashangaa. Hao mnawaita donors wenyewe hawalipani posho kubwa namna hiyo. Vikao vyao vinafanyika maofsini mwao. Nimebaki nashangaa kama mtu analipwa hela yote hiyo kwa ajili ya kikao kimoja. Mambo ya seating allowance bado yapo tu hadi hii leo??
 
Mimi nadhani wengi wetu tunaongea tu kwasababu hiyo mirija ya posho haijapita kwetu. Tunawaonea wivu wapigaji. Ila sisi tukipata tunapiga kama kawa.. Mwandishi kunywa maji upunguze hasira huenda na wewe zamu yako ikafika.
 
Yaan posho ya kufanya kaz uliyoajiliwa kupokea mshahara
 
Mimi nadhani wengi wetu tunaongea tu kwasababu hiyo mirija ya posho haijapita kwetu. Tunawaonea wivu wapigaji. Ila sisi tukipata tunapiga kama kawa.. Mwandishi kunywa maji upunguze hasira huenda na wewe zamu yako ikafika.
Mkuu bila shaka upo sahihi.

Kwa hiyo shida ni mfumo mbaya unaoruhusu watu kujitengenezea posho za ovyo!
 
Hao donors unjua mishahara yao ?
Nimebaki nashangaa. Hao mnawaita donors wenyewe hawalipani posho kubwa namna hiyo. Vikao vyao vinafanyika maofsini mwao. Nimebaki nashangaa kama mtu analipwa hela yote hiyo kwa ajili ya kikao kimoja. Mambo ya seating allowance bado yapo tu hadi hii leo??
 
Inaumiza Sana Kiukweli Hela Nyingi za Nchi zinaishia katika Shughuli za Kiutawala.... Huwa najiuliza nchi changa na Maskini Kaka Hi Kuna Haja ya Kutumia VxV8???? Mara Mtu anazurura tuu Hata shughuli hazieleweki.... Hi inavunja Moyo Hata kulipa Kodi. Sababu unaona Kabisa hela inakwenda Kupotea
 
Kabisa yaan
 
Acheni Wivu. Hao watu walisota sana huko chini,wakafanya kazi kwa bidii na ubunfu wakapata hizo nyazifa. Waachwe wale mema ya nchi.
 
Si wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wengine?
Yaani wanachokifanya ni sawa na mtu anaeketi kutafuta mpango wa kumiliki mbuzi halafu anajipongeza kwa kuchinja ng'ombe
 
Acha wivu,riziki anatoa Mungu,kila mtu ana fungu lake. Acha roho ya kimasikini, subiri wakati wako utafika.
 
Wizzy wizzy ,futeni hizo posho ziajiri watu wengine maana posho tu zina ajiri watu kibao.
 
Naona umeandika ukiwa na hasira sana. Ni kweli haya mambo yanaleta hasira sana mpaka unafikiria hao watu walioyapanga haya walikuwa wanafikiriaje ??

Kuna watumishi mishahara yao ni laki 5 - 6 na hawana posho wala per diem na ndio engine za maendeleo, watoa amri tu ofisini mishahara 2M - 15M bado posho kibao na marupurupu kibao.

Unakaa unafikiriiii weeeee unaona kabisa hii Nchi haijapata kuwa na kiongozi mwenye akili nzuri wote wanyonyajii tuuu.
Ukishangaa watu waliyopanga posho za hao watumishi, je posho za wabunge nazo utafanyaje?
 
Back
Top Bottom