Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....halafu ninaona kuna watu wawili watatu barazani humu wanaliunga mkono hili...!Ndo ushangae
Pumbavu wewe, halafu mkikaa mnamlaumu Rais, inatakiwa serikali ya Samia ili suala la posho za ovyo izifutilie mbaliAcha wivu,riziki anatoa Mungu,kila mtu ana fungu lake. Acha roho ya kimasikini, subiri wakati wako utafika.
Wanajadili miradi ya 100mil wanalipana posho za 200mil sasa ndo niniWizzy wizzy ,futeni hizo posho ziajiri watu wengine maana posho tu zina ajiri watu kibao.
Sasa sijui mshahara wanalipwa wa nnNimebaki nashangaa. Hao mnawaita donors wenyewe hawalipani posho kubwa namna hiyo. Vikao vyao vinafanyika maofsini mwao. Nimebaki nashangaa kama mtu analipwa hela yote hiyo kwa ajili ya kikao kimoja. Mambo ya seating allowance bado yapo tu hadi hii leo??
Hakuna anaeweza kataa pesa ila kama hazina tija zifutwe ..zipo kwa Kazi gani?Mtanzania analalamika ila akipata hiyo nafasi hatakataa hiyo posho na ataona ni haki yake, anajihalalishia kwa kujiambia nilisoma kwa shida sana bla bla bla pathetic hypocrete.
Hukuona mwendazake alimrudisha kazini na kumpongeza yule DED aliyejinunulia gari ya mil.400 kwa kodi za wananchi? Eti kaimalisha ukisanyaji mapato.Inaumiza Sana Kiukweli Hela Nyingi za Nchi zinaishia katika Shughuli za Kiutawala.... Huwa najiuliza nchi changa na Maskini Kaka Hi Kuna Haja ya Kutumia VxV8???? Mara Mtu anazurura tuu Hata shughuli hazieleweki.... Hi inavunja Moyo Hata kulipa Kodi. Sababu unaona Kabisa hela inakwenda Kupotea
Hukuona mwendazake alimrudisha kazini na kumpongeza yule DED aliyejinunulia gari ya mil.400 kwa kodi za wananchi? Eti kaimalisha ukisanyaji mapato.
Hapo ndio utajua hujui ila mimi naona hali iendelee hivi hivi maana ma wananchi hata yaelezwe vipi Ili yabadili chama bado yanakomaa na maccm,Acha yapigwe hadi akili zikae sawa.
Tunaonanana kwenye daladala ni manyani sio. Waafrika tuna safari ndefu sana. Upumbavu umetujaa. Ndio maana unakutana na lijitu limevimba tumbo linakutisha ati wanijua mimi ni nani?. Nawe unaliuliza ukifa hauozi?. Nyani kabisa.Hizo wanaziita honoraria, kimsingi nchi hii wataalamu na wasomi wanalipwa mishahara kiduchu sana ukilinganisha na elimu zao. Kwa hiyo zikitokea hizo fursa za viposho ndo wanaponea hapo angalau kuishi maisha ya hadhi yao, vinginevyo wataishia kubanana uswahilini na kwenye daladala..
Kama le professor Muhongo aliyechachafwa na standard seven Msukuma bungeni. Haha hahaaa. Ati asset kwa taifa wakati mifukoni wamejaza mi kondom kutwa kut*mb* watoto wapichi mitaani. Pumbavu.Mkuu, umeandika jambo moja la maana sana hususan hapo uliposema "angalau kuishi maisha ya hadhi yao".
Mkuu, watu hatufanani umuhimu wetu katika taifa. Katika nchi yoyote ni lazima kuwe na kundi la "elites" watakaokuwa wanawaongoza wenzao ndio maana wengi wao wanakaa Oysterbay na Masaki. Hao jamaa (Wakurugenzi na Mameneja) ni assets sana kwa taifa.
Watu hatufanani hata siku moja.
Nyinyi ndiyo wale "wanyonge"wa mwendazake mnaoshangilia watu kuwa masikini, acheni roho za kimasikiniPumbavu wewe, halafu mkikaa mnamlaumu Rais, inatakiwa serikali ya Samia ili suala la posho za ovyo izifutilie mbali
DaaahKama le professor Muhongo aliyechachafwa na standard seven Msukuma bungeni. Haha hahaaa. Ati asset kwa taifa wakati mifukoni wamejaza mi kondom kutwa kut*mb* watoto wapichi mitaani. Pumbavu.