Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Hahahahaaaa labda ni wivu tu ndio unawasumbuaBongo watu hawa value kabisa taaluma za watu......si ajabu impact ya wataalamu wetu haionekani kwa hizi dharau, eti mil. 2 ndo mtu anaona mtaalamu kalipwa pesa ndefu....
Elewa hoja ni posho siyo mshaharaBongo watu hawa value kabisa taaluma za watu......si ajabu impact ya wataalamu wetu haionekani kwa hizi dharau, eti mil. 2 ndo mtu anaona mtaalamu kalipwa pesa ndefu....
Ndo ushangaeWanalipanaga posho kwa kazi walizoajiriwa kuzifanya. Ni maajabu sana Afrika.
Yaan posho ya kufanya kaz uliyoajiliwa kupokea mshaharaNimebaki nashangaa. Hao mnawaita donors wenyewe hawalipani posho kubwa namna hiyo. Vikao vyao vinafanyika maofsini mwao. Nimebaki nashangaa kama mtu analipwa hela yote hiyo kwa ajili ya kikao kimoja. Mambo ya seating allowance bado yapo tu hadi hii leo??
Mkuu bila shaka upo sahihi.Mimi nadhani wengi wetu tunaongea tu kwasababu hiyo mirija ya posho haijapita kwetu. Tunawaonea wivu wapigaji. Ila sisi tukipata tunapiga kama kawa.. Mwandishi kunywa maji upunguze hasira huenda na wewe zamu yako ikafika.
Nimebaki nashangaa. Hao mnawaita donors wenyewe hawalipani posho kubwa namna hiyo. Vikao vyao vinafanyika maofsini mwao. Nimebaki nashangaa kama mtu analipwa hela yote hiyo kwa ajili ya kikao kimoja. Mambo ya seating allowance bado yapo tu hadi hii leo??
Kabisa yaanInaumiza Sana Kiukweli Hela Nyingi za Nchi zinaishia katika Shughuli za Kiutawala.... Huwa najiuliza nchi changa na Maskini Kaka Hi Kuna Haja ya Kutumia VxV8???? Mara Mtu anazurura tuu Hata shughuli hazieleweki.... Hi inavunja Moyo Hata kulipa Kodi. Sababu unaona Kabisa hela inakwenda Kupotea
Bila uwajibikaji ni sifuriTuwe na taasisi imara tu ndio dawa
Si wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wengine?Acheni Wivu. Hao watu walisota sana huko chini,wakafanya kazi kwa bidii na ubunfu wakapata hizo nyazifa. Waachwe wale mema ya nchi.
Acha wivu,riziki anatoa Mungu,kila mtu ana fungu lake. Acha roho ya kimasikini, subiri wakati wako utafika.Si wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wengine?
Yaani wanachokifanya ni sawa na mtu anaeketi kutafuta mpango wa kumiliki mbuzi halafu anajipongeza kwa kuchinja ng'ombe
Ukishangaa watu waliyopanga posho za hao watumishi, je posho za wabunge nazo utafanyaje?Naona umeandika ukiwa na hasira sana. Ni kweli haya mambo yanaleta hasira sana mpaka unafikiria hao watu walioyapanga haya walikuwa wanafikiriaje ??
Kuna watumishi mishahara yao ni laki 5 - 6 na hawana posho wala per diem na ndio engine za maendeleo, watoa amri tu ofisini mishahara 2M - 15M bado posho kibao na marupurupu kibao.
Unakaa unafikiriiii weeeee unaona kabisa hii Nchi haijapata kuwa na kiongozi mwenye akili nzuri wote wanyonyajii tuuu.