Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

Bado hiyo ni sinema yapo Makubwa zaidi yanakuja ukishang'a ya musa utayaona ya firauni.
 
watu hawana kazi nyie mnalipana Mamilion ya pesa za posho kweli nchi hii inamwitaji dikteta hata zaidi ya dikteta kuitawala. Mama asipoangalia watamchezea sana na wemeanza mapema sana. Mama samia usipoziba ufa utajenga ukuta.
 
Acha wivu,riziki anatoa Mungu,kila mtu ana fungu lake. Acha roho ya kimasikini, subiri wakati wako utafika.
Pumbavu wewe, halafu mkikaa mnamlaumu Rais, inatakiwa serikali ya Samia ili suala la posho za ovyo izifutilie mbali
 
Sasa sijui mshahara wanalipwa wa nn
 
Hii ndo Afrika, tutapiga kelele sana mchana Ila usiku tutalala.Nani amemloga mtu mweusi, asili ya mtu mweusi ni nchi gani? Waafrika wengi nchi zetu zona rasilimali za kufa mtu ukilinganisha na ulaya.Madini ardhi usiseme, ardhi yenye rutuba , mapori na rasilimali nyingine za asili hakuna mfano duniani lakini mpaka kesho tu watu maskini, fukara apeche alolo. Viongozi wake wabinafsi, wababe, malembukeni, wafujaji, nk. Lakini pia raia wake ni mazoba na wasiojielewa.
 
Sio tuu posho wanalipiwa kodi au kupewa nyumba,usafiri, mawasiliano ya simu ,mafuta na mambo kibao.

Lakini wewe mwenye la laki 5 ukiandika dokezo la posho ya laki 3 hawapitishi wanasema pesa hakuna na Kazi umeifanya kweli si weekend au kushinda site huko porini.
 
Mtanzania analalamika ila akipata hiyo nafasi hatakataa hiyo posho na ataona ni haki yake, anajihalalishia kwa kujiambia nilisoma kwa shida sana bla bla bla pathetic hypocrete.
Hakuna anaeweza kataa pesa ila kama hazina tija zifutwe ..zipo kwa Kazi gani?

Bora ulipwe salary kubwa ila kila kitu ugharamie kutoka huko
 
Siio tuu imprest mkuu hata posho za kawaida anapitishia kwa account yako ili umpe.

Unaweza lipwa night au extra duty pesa inasoma ndefu Sana lakini zaidi ya nusu inarudi kwake .Hiyo ndiyo Utumishi wa umma.
 
Hukuona mwendazake alimrudisha kazini na kumpongeza yule DED aliyejinunulia gari ya mil.400 kwa kodi za wananchi? Eti kaimalisha ukisanyaji mapato.

Hapo ndio utajua hujui ila mimi naona hali iendelee hivi hivi maana ma wananchi hata yaelezwe vipi Ili yabadili chama bado yanakomaa na maccm,Acha yapigwe hadi akili zikae sawa.
 
Ngoja wenyewe waje watakujibu tu , na watakwambia uende shule ama ujiajiri wakati wao wameajiriwa
 
Ni kweli Boss... Pia Kulipa Kodi kidogo Sana kadiri inavyowezekana... Haiwezekani tunahenyeka vya Kutosha halafu Watu wanachezea Jasho letu watakavyo....!!!!
 
Tunaonanana kwenye daladala ni manyani sio. Waafrika tuna safari ndefu sana. Upumbavu umetujaa. Ndio maana unakutana na lijitu limevimba tumbo linakutisha ati wanijua mimi ni nani?. Nawe unaliuliza ukifa hauozi?. Nyani kabisa.
 
Kama le professor Muhongo aliyechachafwa na standard seven Msukuma bungeni. Haha hahaaa. Ati asset kwa taifa wakati mifukoni wamejaza mi kondom kutwa kut*mb* watoto wapichi mitaani. Pumbavu.
 
Pumbavu wewe, halafu mkikaa mnamlaumu Rais, inatakiwa serikali ya Samia ili suala la posho za ovyo izifutilie mbali
Nyinyi ndiyo wale "wanyonge"wa mwendazake mnaoshangilia watu kuwa masikini, acheni roho za kimasikini
 
Kama le professor Muhongo aliyechachafwa na standard seven Msukuma bungeni. Haha hahaaa. Ati asset kwa taifa wakati mifukoni wamejaza mi kondom kutwa kut*mb* watoto wapichi mitaani. Pumbavu.
Daaah
 
Naskia jamaa wameponzwa na yule jamaa aliyekuwa anamwaga hela ktk harusi clip yake ilisambaa sana makundi ya whatsapp. naskia jamaa yuko hazina dom.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…