A
Anonymous
Guest
Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu hilo wala kama kuna malipo mengine yatakayofuatia na lini.
Kumekuwa na ufuatiliaji kwa wahusika zaidi ya mara moja, lakini majibu tunayopata hayako wazi wala hayatoi picha ya nini hasa kinaendelea.
Kwa kweli hii imetuchanganya na kutusumbua sana kama watumishi wapya tulioanza kazi katika mazingira mapya. Tunaomba ufafanuzi wa wazi ili tuweze kuelewa hali halisi.