MARCKO
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 2,258
- 275
Pateni picha mnaamka asubuhi mnaangalia nje mnakuta hakupo!
nomaaasee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pateni picha mnaamka asubuhi mnaangalia nje mnakuta hakupo!
Hahahaaaa a a. ..... kumeenda wapi??
Uwiiiiiii mbavu zangu
Hata uwe na meno marefu kama ngiri huwezi tafuna maji.
Mbwa hanenenepi miguu
Mganga haagizi tembele
Picha ya rais haina bodyguard
Gari ya taka na yenyewe ni takataka
Mkeka hauna Uvungu
Mwalimu: Tunga sentensi kwa kutumia neno TUMAINI
Mwanafunzi: Tumaini twa kuku ni tudogo kuliko twa mbuzi
hahhahh nimecheka sana
Mwalimu: Tunga sentensi kwa kutumia neno TUMAINI
Mwanafunzi: Tumaini twa kuku ni tudogo kuliko twa mbuzi
Ndala saizi namba ngapi? Haaaaaaaaaa!!!kwenu kuchafu mpaka nzi na mende wameamua kuvaa ndala
Mwalimu: Tunga sentensi kwa kutumia neno TUMAINI
Mwanafunzi: Tumaini twa kuku ni tudogo kuliko twa mbuzi
kuna vyoo vya kukaa,au we huwa unapanda then unachuchumaa
Kuna wengine wanauma za miguu mkuu.Hata mwanamke awe na aibu vipi, hawezi uma kucha za vidole vya miguu akiwa anatongozwa
Kuna wengine wanauma za miguu mkuu.