Post SMS za vichekesho na utani hapa

Post SMS za vichekesho na utani hapa

Mbwa hanenenepi miguu
Mganga haagizi tembele
Picha ya rais haina bodyguard
Gari ya taka na yenyewe ni takataka
Mkeka hauna Uvungu
 
Dem; Baby nipo msibani huku sinza yule uncle amefariki
Jamaa; OK baby enjoy
 
Madenge aliulizwa swali na mwalimu wake darasani

Mwalimu : madenge what is Family?

Madenge : is a medicated soap
 
Madenge aliulizwa swali na mwalimu wake darasani

Mwalimu : madenge what is Family?

Madenge : is a medicated soap

Mwalimu : shwain wee toka darasani kwangu fastaaa!
 
Back
Top Bottom