Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
53,537
Reaction score
133,017
Ni siku moja baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya Taifa katika soka la kimataifa.

Look what humble Messi posted on his IG page.

Now imagine kama hii ingepostiwa na Ronaldo.
HRO0Q-macAE2xpf.jpg

Ronaldo Delima alikanusha madai ya kwamba Messi ni GOAT na haijapita hata miezi mitatu tangu akanushe hayo madai.

Zlatan alianza kumchukia Ronaldo ile siku ambayo Sweden ilicheza na Portugal kwenye hatua ya kufuzu kombe la dunia 2013.

Ronaldo siku hiyo alifunga hattrick na kuiondoa Sweden isiweze kushiriki kombe la dunia la 2014. Kabla ya hapo Zlatan hakuwahi mchukia Ronaldo.

Thierry Henry sielewei kwanini amekuwa toxic sana kwa Ronaldo, unajua sio tu kwamba anamkubali Messi ila pia jamaa anamchukia vibaya sana Ronaldo.

Nadhani hii ndio siku ambayo chuki yake iliongezeka maradufu.

Utajisikiaje kupewa nafasi ya kumkabidhi tuzo kubwa yenye heshima duniani, mchezaji ambaye unamchukia? Mbaya zaidi akapiga na Siuuuu mbele yako
1788422843079.png

Rooney alianza kumchukia Ronaldo ile siku ambayo walicheza mechi ya kimataifa kila mtu akitumikia nchi yake. Kuna faulo mbaya aliifanya Rooney kwa mchezaji wa Portugal, Ronaldo alimfuata Refa kumlalamikia atoe kadi nyekundu.

Refa kweli alitoa kadi nyekundu na Rooney akatolewa uwanjani. Tangu siku ile jamaa hakuwahi kupona yale maumivu.
 
Achana na haya mambo. Hao wana maisha yao.

Lionel Mess ana haki ya kujiona yeye ni bora zaidi ya wengine, Ronaldo pia the same. Ndivyo hali halisi ilivyo.

Wewe pia hapo ni bora kuliko wengine kwenye maisha yako. Ipo hivyo. Ulitaka Mess aseme upuuzi ati Croose ni bora zaidi yake?

So everyone would have his/her own choice. As a matter of fact, we lose too much of time for things that does not matter at all.

NB: Mess is very unique than any footballer I ever see📌
 
Hii sio kuhusu yeye kuwa na haki ya kujiona bora.

Ni namna ambavyo amekuwa portrayed na mashabiki zake kwamba he's humble guy.

Now he's posting videos declaring the GOAT debate OVER.

Messi hajawahi kuwa humble, ilikuwa ni nyoka wa kijani kwenye majani. Ni ngumu kumuona.

Ila saizi kila kitu kimeanza kuonekana.
 
Humble guy wapoje?
Wewe ndo upo humble?
 
Humble guy wapoje?
Wewe ndo upo humble?

“Messi is humble."
"Hajawahi kujiita GOAT"
"Hajali kitu kuhusu mjadala wa GOAT"
"Hajali kuhusu takwimu zake binafsi"

Meanwhile, Messi literally posts a long ass list of his achievements hadi mechi za kirafiki kwenye Instagram akidai mjadala wa GOAT umemalizika.
 
Messi ni GOAT.

Najua watu wanasema Ronaldo ni GOAT, lakini mpaka mtu aseme Ronaldo ni GOAT anakuwa amejikaza kama vile anayekunywa shubiri.

Messi 🔥🔥🔥
 
Messi ni GOAT.

Najua watu wanasema Ronaldo ni GOAT, lakini mpaka mtu aseme Ronaldo ni GOAT anakuwa amejikaza kama vile anayekunywa shubiri.

Messi 🔥🔥🔥
Sina shida na mashabiki kumuita GOAT.

Nina shida na sifa ambazo mmekuwa mkimpa ambazo zinamfanya aonekane Saint dhidi ya wachezaji wengine.

Messi amekuwa akitajwa kama mchezaji ambaye ana busara sana asiyependa kujionesha yupo juu ya wengine.

Messi amekuwa akisifiwa kuwa anajali sana mafanikio ya timu kuliko mafanikio binafsi.

Lakini kwa hiki alicho post katika ukurasa wake wa Instagram, kimedhihirisha wazi kuwa tulidanganywa mengi sana kuhusu Messi.
 
Kila mtu duniani anapenda sifa mkuu. Tofauti ni viwango, wengine hawajisemei sana wengine wanajisema sana.

Messi kafunguka 🤣🤣
 
Back
Top Bottom