cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hii sio kuhusu yeye kuwa na haki ya kujiona bora.
Ni namna ambavyo amekuwa portrayed na mashabiki zake kwamba he's humble guy.
Now he's posting videos declaring the GOAT debate OVER.
Messi hajawahi kuwa humble, ilikuwa ni nyoka wa kijani kwenye majani. Ni ngumu kumuona.
Ila saizi kila kitu kimeanza kuonekana.
Japo siwapendi wote, ila Messi alikua anajifanya mwema ili tu apate wafuasi wengi has a social media, ambapo Ronaldo yuko mbali sanaaa.
Binafsi yangu nitampa credit Cr7 kwa kuwa kapita League tofauti na kakiwasha, tofauti na Leo aliyecheza league 1 pekee hadi uzeeni.