Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

Hizi mambo zilitamatika pale Qatar 2022, vingine hivi ni kusogeza mda tu mda wa kulala ufike.
 
hivi unajua unaandika vitu visivyoeleweka na wewe unachotaka ni nini
team au mchezaji
maana kwenye team sijazungumzia popote
hapa ni mbuzi tu kama unatafuta al ahly ikupe faraja tafuta faraja nyingine
kama unaona messi hastahili kuitwa goat nitajie anayestahili kwa vigezo vyako ila kumbuka kila kigezo utachoweka awe namba moja yeye

Swali gani?
hapa nimekuuliza
 
Kwa mtu ambaye hapendi majivuno, mtu mwenye hizo sifa isingewezekana hata tangazo kuwekwa maudhui yanayo contradict sifa zake.

Lakini kuonesha kuwa yupo obsessed na GOAT debate, aliwahi kupost hivi.

View attachment 3664028


Tena hii ilikuwa 2018 kabla hata ya kuchukua kombe la dunia 2022
View attachment 3664029
"Who can underestimate the importance of feeling special?"

A quote from Dr. Ben Carson"Think Big"

Darasa aliimba
"Bongo wanamaindisha mambo madogo,
Wanaweza kufelisha hata michongo"

Actually kila mtu anatamani kuwa someone special. Mtu kupost mara moja tu mafanikio yake haiwezi kuharibu sifa zake. Na wala sio dhambi mtu kupost mawazo yake juu ya mafanikio yake mwenyewe.

Nadhani ile ni account yake binafsi, na ana uhuru wa kupost chochote. As long as hajamtukana mtu
Kwa mtu mwenye sifa za "u-humble guy" kum snitch mchezaji kwa refa ni tukio linalomchafua.

Hiyo ya kumchapa kofi ilitokea wiki iliyopita na faini alipigwa.
View attachment 3664621
We endelea kujiweka bize na maisha ya watu. Wao wapo bize na maisha yao.
 
hapa nimekuuliza
Nadhani nilikujibu labda kama hukuridhushwa na jibu.

Ila nilijibu socratic pengine hiyo ndio ilifanya usilione jibu.
 
Nadhani nilikujibu labda kama hukuridhushwa na jibu.

Ila nilijibu socratic pengine hiyo ndio ilifanya usilione jibu.
hebu jibu swali hili

wewe unaona ni nani anastahili kuwa goat weka na vigezo kama messi hafai
 
"Who can underestimate the importance of feeling special?"

A quote from Dr. Ben Carson"Think Big"

Darasa aliimba
"Bongo wanamaindisha mambo madogo,
Wanaweza kufelisha hata michongo"

Actually kila mtu anatamani kuwa someone special. Mtu kupost mara moja tu mafanikio yake haiwezi kuharibu sifa zake. Na wala sio dhambi mtu kupost mawazo yake juu ya mafanikio yake mwenyewe.

Nadhani ile ni account yake binafsi, na ana uhuru wa kupost chochote. As long as hajamtukana mtu

We endelea kujiweka bize na maisha ya watu. Wao wapo bize na maisha yao.
Tatizo huelewi context.

Mimi sisemi tu kwamba kwanini amejiita GOAT nakuishia hapo.

Muktadha wa hoja yangu unatokana na kauli za mashabiki wake kwamba Messi ni mtu mpole asiyejali sana mafanikio binafsi.

Ni mtu mpole ambaye huwezi kumkuta akitoleana maneno na wachezaji wenzake.

Na hata yeye aliwahi kusema pia kuwa hafikirii kama yeye ni GOAT bali yeye anachojali zaidi ni mafanikio ya timu basi.

Ukielewa hizi stori utaweza kuelewa kwanini nimekuja na hili bandiko.
 
hebu jibu swali hili

wewe unaona ni nani anastahili kuwa goat weka na vigezo kama messi hafai
Okay basi tuanze kwa kujiuliza.

Ni tukio gani kubwa kwenye mpira?
 
Okay basi tuanze kwa kujiuliza.

Ni tukio gani kubwa kwenye mpira?
we jamaa sikujibu swali mpaka utapojibu swali langu la sivyo utakuwa unanihoji tena sio mazungumzo
jibu swali ili ulete swali sasa maswali upande mmoja kama nipo polisi mie sitaki
 
we jamaa sikujibu swali mpaka utapojibu swali langu la sivyo utakuwa unanihoji tena sio mazungumzo
jibu swali ili ulete swali sasa maswali upande mmoja kama nipo polisi mie sitaki
Huu ni mjadala au unanifanyia cross examination?
 
Messi ni GOAT kwasababu ni mchezaji mwenye makombe mengi.

Meanwhile
FB_IMG_1789637774730.jpg
 
Back
Top Bottom