Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

goat tumpime kwa kitu gani kwa mtazamo wako
Nadhani hili ni swali ambalo wewe unayesapoti kitendo cha Messi kujitangaza yeye ni GOAT ndio unayetakiwa kutupa kitu kimoja conclusive kinachomfanya yeye awe GOAT dhidi ya wachezaji wengine
 
we upo kwa ajili ya kubishana
kama unaona huyo astahili mlete anayestahii na vigezo uweke la sivyo utakuwa debe tupu yani kelele tu
 
Usinihukumu kwa kuniambia nabishana halafu ukajitia upofu wa kutoiona hoja yangu.

Ili nisionekane nabishana nadhani lengo lako unataka kuniona nakubaliana na mtazamo wako.

Na mimi ili niwe convincing na mtazamo wako lazima hoja zangu zijibiwe na sio uzipige teke kwa kisingizio cha kubishana.

Hoja yangu ni hii

Ni factor gani moja ambayo ni conclusive inayomfanya Messi awe GOAT dhidi ya wachezaji wengine?

Kwasababu mimi naweza ku argue kuwa Ronaldo ndio mchezaji pekee ambaye ametangazwa kuwa ni best of the century na tuzo amepewa.

Sasa huyo anayekuwa GOAT mbele ya Ronaldo, huo U-GOAT wake unakuwa umezingatia vigezo gani?
 
mie kigezo kikubwa ni mchezaji mwenye makombe mengi zaidi tangu hii dunia iumbwe
wewe chako ni kipi
 
Nakubali kuwa ana makombe mengi kwa idadi kwa maana yenye mchanganyiko wa less competitive trophies (including friendlies, youth, na one off finals)

Na makombe kadhaa yenye high competitive trophies, na kama hiyo ni factor yako basi uko sahihi.

Na kwa factor hiyo nadhani utakuwa unakubali kuwa Al Ahly ya Egypt ni timu bora kuliko Barcelona, Madrid, Man United, Bayern na timu zingine za Ulaya kwasababu Al Ahly ndio timu pekee duniani inayoongoza kuwa na makombe mengi.
 
mbona kama unahangaika sana point yako ni nini kwa kigezo chochote mchezaji unayempenda hawezi kuwa goat
kwa magoli wapo waliompita
kwa assist wapo waliompita
kwa makombe wapo waliompita

sasa hrbu nitajie goat wako ili nisikuulize maswali maana mtazamo wako nauhitaji pia
 
Pointi yangu ina rely kwenye premise yako (Makombe) kama ndio big factor yaku authenticate ubora. Wala sijaenda kabisa huko kwa GOAT wangu.

Kwa mujibu wa factor yako mwenyewe ni kwamba Al Ahly ya misri ndio klabu namba moja kwa ubora duniani, ikizipiku Madrid, Barcelona na vilabu vingine vyote vya ulaya. Kwasababu Al Ahly ndio klabu pekee inayoongoza kwa makombe.
 
hivi unajua unaandika vitu visivyoeleweka na wewe unachotaka ni nini
team au mchezaji
maana kwenye team sijazungumzia popote
hapa ni mbuzi tu kama unatafuta al ahly ikupe faraja tafuta faraja nyingine
kama unaona messi hastahili kuitwa goat nitajie anayestahili kwa vigezo vyako ila kumbuka kila kigezo utachoweka awe namba moja yeye
 
Siku zote value ya kombe inapimwa kwa ushindani wa tournament au ligi husika.

Maadam wewe umesema katika vigezo vyako vya kumtambua Messi kama GOAT umetaja makombe bila evaluation.

Mimi sijakupinga nimekuelewa hoja yako kwa context hiyo.

Ila nimejaribu tu kuwaza kupitia muktadha huo ambao unauamini, je ni kweli Al Ahly ya Egypt inaweza kuwa bora kuliko vilabu vingine? Je na wewe unakubaliana na hii?

Kama unaona kwa upande mwingine kombe haliwezi kuthibitisha ubora wa timu, kwanini kombe hilo hilo lithibitishe ubora kwa mchezaji?
 
wewe mbona hutaki kujibu maswali
 
Ronaldo ashakubali kuwa upande wa kutupiwa sifa mbaya.

Hata pale alipoulizwa mchezaji bora wa muda wote ni nani, akajitaja yeye. Watu wengi walimshukia kwa madai kuwa anapenda kujikweza.

Watu walienda mbali wakisema Messi huwezi kumuona akijisifia mafanikio yake binafsi au kujitaja yeye kama mchezaji bora.

Kupitia sifa hizo, Messi akatunukiwa description ya humble guy. Ronaldo akiambulia sifa ya ego na mjivuni.

Lakini kwenye hii miezi miwili tumekuja kushuhudia mambo makubwa ambayo tuliaminishwa kuwa ni mambo yanayofanywa na Ronaldo.

Kwenye fainali, Messi alim snitch Cucurella kwa refa kwasababu tu Cucurella aliziba mdomo wakati anazungumza na Messi.
View attachment 3662469
Messi alitaka Cucurella atolewe nje kaa red card ♦️.

Then jana tunaona tena aki post mafanikio yake binafsi huku akihitimisha kwa madai ya kwamba mjadala wa GOAT umemalizika.

Lakini mashabiki zake hawataki kuona hii post kwa maono yale yale waliyokuwa wakiona kwa Ronaldo na kuita ego na mjivuni.
Yani hiyo ya kumtaka mchezaji atolewe kwa red card mbona ni vitu vya kawaida sana kwenye soka. Angemchapa kofi au mtama si ungutusumbua mwaka mzima! Umeanza kufuatili mpira mwaka gani kiongozi??????????

Kumtafutia mtu card ni vitu vya kawaida sana hivyo. Ronaldo ye kuna kipindi alikuwa anawachapa mateke kabisa 😂
 
r

ronaldo vs rooney euro 2004
 
Kwa mtu ambaye hapendi majivuno, mtu mwenye hizo sifa isingewezekana hata tangazo kuwekwa maudhui yanayo contradict sifa zake.

Lakini kuonesha kuwa yupo obsessed na GOAT debate, aliwahi kupost hivi.

View attachment 3664028

Tena hii ilikuwa 2018 kabla hata ya kuchukua kombe la dunia 2022
View attachment 3664029
"Who can underestimate the importance of feeling special?"

A quote from Dr. Ben Carson"Think Big"

Darasa aliimba
"Bongo wanamaindisha mambo madogo,
Wanaweza kufelisha hata michongo"

Actually kila mtu anatamani kuwa someone special. Mtu kupost mara moja tu mafanikio yake haiwezi kuharibu sifa zake. Na wala sio dhambi mtu kupost mawazo yake juu ya mafanikio yake mwenyewe.

Nadhani ile ni account yake binafsi, na ana uhuru wa kupost chochote. As long as hajamtukana mtu
 
Yani hiyo ya kumtaka mchezaji atolewe kwa red card mbona ni vitu vya kawaida sana kwenye soka. Angemchapa kofi au mtama si ungutusumbua mwaka mzima! Umeanza kufuatili mpira mwaka gani kiongozi??????????

Kumtafutia mtu card ni vitu vya kawaida sana hivyo. Ronaldo ye kuna kipindi alikuwa anawachapa mateke kabisa 😂
Kwa mtu mwenye sifa za "u-humble guy" kum snitch mchezaji kwa refa ni tukio linalomchafua.

Hiyo ya kumchapa kofi ilitokea wiki iliyopita na faini alipigwa.
 
Back
Top Bottom