Hoja yako ni nini hasa?Kuna ule mjadala tulijadili siku ulipopost kwamba "tatizo la Ronaldo wachezaji wa Ureno wanamnyima pass" upitie tena. Kama unataka sababu za kwanini Messi anakuwa bora zaidi ya wachezaji wengine.
Sioni haja ya kuendeleza mjadala.
Nimesema urejee huo mjadala. Maana naona unauliza maswali yaleyale mkuu.Hoja yako ni nini hasa?
Kwamba kunyimwa pasi kwa Ronaldo na teammates wake kunampa sababu Messi ya kuwa bora dhidi ya wengine?
Si utafute, uzi si uliandika mwenyewe mkuu?Huo mjadala uko wapi?
Hapo kwa juu umemsahau Wenger. Carlo Ancelot aliwahi kusema namna pekee ya kumkaba Messi ni kutomtaja mkiwa ktk game plan na mazoezini.
Hapo kwa juu umemsahau Wenger. Carlo Ancelot aliwahi kusema namna pekee ya kumkaba Messi ni kutomtaja mkiwa ktk game plan na mazoezini.
Kroos kafungua mdomo kuhusu hili jambo ..kama hujakutana nayo itafute.
Fabrizio ni shabiki wa Messi na hater wa Ronaldo.
😁😄😄😄. Au anakata gogo gumuMessi ni GOAT.
Najua watu wanasema Ronaldo ni GOAT, lakini mpaka mtu aseme Ronaldo ni GOAT anakuwa amejikaza kama vile anayekunywa shubiri.
Messi 🔥🔥🔥
Punguza kusema ukweli sana basi 😂Kuwa muwazi kwamba wewe unampenda CR7, sio dhambi.
Mimi nawakubali wote. Wote wapo kwenye ulimwengu wao. Mafanikio yao yanajitetea kuliko kelele za mashabiki. Sisi tunapoteza muda tu.
Lakini kama ishu ni mchezaji bora. Messi is the best player ever. Ronaldo was just the best goal machine.
lile ni tangazo“Messi is humble."
"Hajawahi kujiita GOAT"
"Hajali kitu kuhusu mjadala wa GOAT"
"Hajali kuhusu takwimu zake binafsi"
Meanwhile, Messi literally posts a long ass list of his achievements hadi mechi za kirafiki kwenye Instagram akidai mjadala wa GOAT umemalizika.
Kwa mtu ambaye hapendi majivuno, mtu mwenye hizo sifa isingewezekana hata tangazo kuwekwa maudhui yanayo contradict sifa zake.lile ni tangazo
number of rivary fans moved to tears countlessSina shida na mashabiki kumuita GOAT.
Nina shida na sifa ambazo mmekuwa mkimpa ambazo zinamfanya aonekane Saint dhidi ya wachezaji wengine.
nuMessi amekuwa akitajwa kama mchezaji ambaye ana busara sana asiyependa kujionesha yupo juu ya wengine.
Messi amekuwa akisifiwa kuwa anajali sana mafanikio ya timu kuliko mafanikio binafsi.
Lakini kwa hiki alicho post katika ukurasa wake wa Instagram, kimedhihirisha wazi kuwa tulidanganywa mengi sana kuhusu Messi.
mi sijaona popote alipodanganya kama kupo nionyesheKwa mtu ambaye hapendi majivuno, mtu mwenye hizo sifa isingewezekana hata tangazo kuwekwa maudhui yanayo contradict sifa zake.
Lakini kuonesha kuwa yupo obsessed na GOAT debate, aliwahi kupost hivi.
View attachment 3664028
Tena hii ilikuwa 2018 kabla hata ya kuchukua kombe la dunia 2022
View attachment 3664029
we onesha mbuzi wako kafanya nini kombe la dunia