DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
kariakoo ndo kiboko yao mitaa yote imejaa vinyesi chemba zinatema kati kati ya barabaraEneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu.
Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata magonjwa.
Changamoto hiyo kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikijitokeza kwenye maeneo tofauti ya Posta Jijini Dar es Salaam bado sijaona jitihada za mamlaka kuleta suluhu.
Tunaomba mamlaka zilifanyie kazi hasa suala hilo ikizingatiwa Posta ni sehemu ambazo kuna ofisi za umma na binafsi nyingi, hivyo changamoto hiyo inaathiri Watu wengi.
Dah ni hatariNimepita hapo Mbele ya BOT kuelekea Sukari House hali ni mbaya lazima utembee Umeziba pua.
Pale ni hatari zaidi.kariakoo ndo kiboko yao mitaa yote imejaa vinyesi chemba zinatema kati kati ya barabara
Duh aisee!Dar inanuka Mavi kipindi hichi cha Mvua kila sehemu kunanuka Mavi sio huko Posta tu Dar nzima yaan inanuka kinyesi tu
Koooote mpaka Ikulu ukikatisha ni mavi tu yaan Dar kipindi hiki haichagui kila sehemu ni kunuka Mavi tu tena wenye Lodge na Hotel hiki ndio kipindi chao cha kuruhusu majitaka kwenye mifereji ya majiDuh aisee!
Sio maji machafu Mavi Mavi Mavi kote inanuka Mavi kila unapopita ni harufu ya Mavi tu kila kona kila sehemu jua likiwaka kidogo panatulia ikinyesha tu Mavi yanaanza kunukaHatariii sana, halafu utakuta mijitu inapayuka dar ni New York maji machafu mitaani. π π π π
Bongo tunacheza sanaHatariii sana, halafu utakuta mijitu inapayuka dar ni New York maji machafu mitaani. π π π π
Hili jiji linanuka sana hasa kipindi cha mvuaNimepita hapo Mbele ya BOT kuelekea Sukari House hali ni mbaya lazima utembee Umeziba pua.
Kuna video imetrend jana inawaonesha wamama wawili wanamwaga uchafu kwenye maji yamvua huku mvua ikinyesha hapo Dar, tena uchafu toka kwenye viloba, nasikia na kuna wengine uwa wakiona mvua ndio wanaona wakati muafaka wa kutemesha vyoo. Inasikitisha sana sasa hapo kipindu pindu kikizuka itakuaje.Sio maji machafu Mavi Mavi Mavi kote inanuka Mavi kila unapopita ni harufu ya Mavi tu kila kona kila sehemu jua likiwaka kidogo panatulia ikinyesha tu Mavi yanaanza kunuka