Pa kuanzia na kumalizia wapi boss?Tushamaliza sisi tulitaka tu kudocument hiki cha leo so pakuanzia na kumalizia tunapo.
JifarijiniYaah tumeongeza nyie endeleni kugoma maana mmegomea mechi zote zilizo bakia au huja msikia Magori.
Nijifariji vip au hujamsikia Magori kwamba nyie msimu mshamaliza hamchezi mechi yoyote au Magori nae anajifariji.Jifarijini
Vipi ikiwa sawa hili nalo umejiuliza? Mbona hautoi mfano baada ya kauli ya Magoli kusema hawato cheza mechi yoyote ya ligi......?Pa kuanzia na kumalizia wapi boss?
Tatizo la kuwa shabiki huwa haijulikani viongozi watafanya nini na kwanini, inakuwa kama kubeti.
Sasa mfano hii statement yako, ikienda tofauti na Yanga ikacheza mechi badala ya kudai point 3?
Tuwazuie funguo za uwanja tunatembea jazo sisi.Msije tu mkawazuia Coastal J4 kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi
Kwani mmeingiaje uwanjani leo saa 10 wakati mechi iliahirishwa toka mchana?Tuwazuie funguo za uwanja tunatembea jazo sisi.
Nyie naona Magoli kasema mshamaliza ligi maana mmesusia mechi zote.
Ila Uto mtafute mwanasheria msomi huyo mlienae mmmh.Tushamaliza sisi tulitaka tu kudocument hiki cha leo so pakuanzia na kumalizia tunapo.
Yanga haifanyi kazi Instagram inaofisi mpaka sasa haijapata barua hiyo.Kwani mmeingiaje uwanjani leo saa 10 wakati mechi iliahirishwa toka mchana?
Htuhitaji mwanasheria Msomi ktk hili, tuna endelea na mechi ijayo.Ila Uto mtafute mwanasheria msomi huyo mlienae mmmh.
Mwanasheria kila tukio anagaragazwa tu, au hamkufanya vetting vizuri mmeajiri KOLO?
Aliyekwambia Yanga haikuwa na taarifa rasmi toka mchana kakudanganya na kukudharau sana.Yanga haifanyi kazi Instagram inaofisi mpaka sasa haijapata barua hiyo.
Unatuuliza tumeingiaje wakati gharama za uwanja tunaolipa ni sisi.
Hiyo barua ilifika ofisi za Yanga saa ngapi? Ndio maana uongozi wote ulikuwa uwanjani siku ya leo.....Aliyekwambia Yanga haikuwa na taarifa rasmi toka mchana kakudanganya na kukudharau sana.
Unajisikiaje kupoteza pwenti 3 leo kwa kuvunja kanuni kizembezembe? Viongozi wenu wamewahujumu sana leo.Hiyo barua ilifika ofisi za Yanga saa ngapi? Ndio maana uongozi wote ulikuwa uwanjani siku ya leo.....
Halafu unaumia nini Yanga kuendelea na plan zake,wakati wewe umegomea mechi ya leo na tena umesusa mechi zote zilizo baki.
Akili ya Yanga ipo kwenye mechi inayofuata,tushamalizana na wewe leo.
Nani kapoteza kwa mujibu wa kifungu gani?Unajisikiaje kupoteza pwenti 3 leo kwa kuvunja kanuni kizembezembe? Viongozi wenu wamewahujumu sana leo.
Mmeipa Simba pwenti 3 za bure kizembe sana asee.Nani kapoteza kwa mujibu wa kifungu gani?
Yaani unasema viongozi wetu wametuhujumu. Huku kiongozi wako kasusia mechi zote za Msimu zilizo bakia au huyu hajawahujumu.
Tushachikua tatu na uwanjani tulikuwepo, sasa sijui kifungu gani mmetumia?Mmeipa Simba pwenti 3 za bure kizembe sana asee.
Simba inataka majibu ya kuridhisha ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya wote waliohusika kuizuia kuingia uwanjani siku ya jana na inataka iahidiwe matendo hayo ya kihuni hayatarudiwa tena.
Nasikia leo mmevunja kanuni nyingine kwa kutotumia mlango rasmi. Hivi mna nini nyie?Tushachikua tatu na uwanjani tulikuwepo, sasa sijui kifungu gani mmetumia?
Kwa hiyo nyie Magoli hajawahujumu.
Mmechukua pwenti tatu wakati hakukuwa na refa aliyeanzisha wala kumaliza mchezo? Halafu unadai wewe ni mtu wa mpiraTushachikua tatu na uwanjani tulikuwepo, sasa sijui kifungu gani mmetumia?
Kwa hiyo nyie Magoli hajawahujumu.
Utasikia mengi tu,sie tushamaliza leo tumechukua tatu muhimu tunasonga mbele. Endeleni na mgomo, Yanga itaendelea kucheza na kushinda mechi zake.Nasikia leo mmevunja kanuni nyingine kwa kutotumia mlango rasmi. Hivi mna nini nyie?
Hamkuoneka uwanjani, si tunachojua mechi ya leo tumemaliza,nayo.Mmechukua pwenti tatu wakati hakukuwa na refa aliyeanzisha wala kumaliza mchezo? Halafu unadai wewe ni mtu wa mpira