Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri.
Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao.

Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda. Wakaamua bora watoto wabaki nyumbani mpaka siku serikali itakavyohakikisha usalama wa watoto wao.

Swali, nani anawateka watoto na kunyofoa viungo vyao. Je polisi iliyosomea intelijensia meshindwa kazi? Kwanini serikali iko kimya? Wananchi wafanye nini?
 
kuna matobo kwenye intelijensia, kuna matobo kwenye uwezo wa upelelezi, au wapo pamoja na watekaji. tusemeje sasa?
Inashangaza sana, sijui kazi ya polisi ni nin
 
Back
Top Bottom