GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama serikali inahusika unamtowaje Wambura.Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Sijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Sijui kama kuna IGP Ataiweza polisi maana tofauti na wenzeo kama jeshi la wananchi hawa wanatumika kisiasa sana ....too much maelekezo mpaka wao wameamua tu oda ni oda kikubwa itoke kwa mkubwa!
Hajaanza leo hii Kuonyesha huu Udhaifu wake hapo Polisi. Kanikera kwakuwa Wazanaki hatuna huu Upuuzi alioulea PT.Kama serikali inahusika unamtowaje Wambura.
Kwa kile Kichwa chake kilivyo yaani kabisa mlikuwa mnategemea awe Waziri competent tena kwa Wizara kama aliyonayo?Angeanza na yule waziri wa idara husika
Yule ni Mzanzibar mwenzake halafu ni ndugu katika imaan, sahau hilo kabisa.Angeanza na yule waziri wa idara husika
Sasa anamuondoa niamini.Yule ni Mzanzibar mwenzake halafu ni ndugu katika imaan, sahau hilo kabisa.
Acha kubisha kuhusu IGP Wambura upande ni Mzakani tena Kijiji kimoja nami na mwingine ni Mkurya. Acha kubisha!!!Genta my bro siyo Mzanaki please. Ni pure Wakurya sisi from Nyamongo. Ni kazi na cheo huja na kuondoka. Sina shaka na utendaji wake, huwa hapindishi. Mengine anajua yeye.
Hata Wazanaki wana Wambura, Marwa.Genta my bro siyo Mzanaki please. Ni pure Wakurya sisi from Nyamongo. Ni kazi na cheo huja na kuondoka. Sina shaka na utendaji wake, huwa hapindishi. Mengine anajua yeye.
Nimeshampa ufananuzi na narudia tena GENTAMYCINE natoka Kijiji kimoja na akina Sirro na huyu Wambura Uzanakini.Hata Wazanaki wana Wambura, Marwa.
Si hapo muangalie upande wa baba yake kama ni mzanaki ama mkurya?Acha kubisha kuhusu IGP Wambura upande ni Mzakani tena Kijiji kimoja nami na mwingine ni Mkurya. Acha kubisha!!!
Huwa nachukia kweli kweli Mijitu mibishi mibishi.Si hapo muangalie upande wa baba yake kama ni mzanaki ama mkurya?
Nani kabisha?Huwa nachukia kweli kweli Mijitu mibishi mibishi.
Ninayemjibu hapa.Nani kabisha?
Kuna mmoja unamlindaJumatano asubuhi Sir George Simbachawene anaapishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kuchukua nafasi ya Hamad Masauni; tunzeni hii post