Povu la Jokate

Jokate hasomi Alama za nyakati!!,mwenzie alikiba ana watoto wanne sijui watatu,huenda hafikirii kusettle down soon
kwani tayari ana watoto
Sijui ni nini haswa kitamharakisha Alikiba kuoa(watoto anao tayari),alikiba bado anao muda wa kuchezea lakini jokate hana muda wa kuchezea,hana mtoto,
Kwa tabia za alikiba,kuoa MTU ambaye ameshatembea na mshindani wake(diamond)inaweza kuwa ni changamoto!!!ndio watu husema 'k'haina makombo lakini kwa MTU kama kiba,MTU wa pride lazima hilo ni kwazo kubwa sana.
 
Wote hao wanaume wa ajabu ajabu tu na wahuni walimtumia na Ku dump tu na hyo imemfanya JoJo aonekane hovyo hovyo tu kiukweli.
Yani huyu jokate kwa jinsi alivyo na akili za darasani ...hakustahili kuruka ruka na kutumiwa na wajinga wajinga...hadhi yake ilibidi iwe ya kina
Faraja kotta
Jacky mengi
Nancy sumary
nargis mohamed
Hoyce temu...
Adate na watu wenye akili na future za maana...mtoto kajiharibia sana huyu
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa Henrry Ford huko marekani hakuwa na elimu ila aliweza kupata mawe kibao kwa kuwatumia wenye Elimu na mpaka leo gari zake zipo sokoni.

Uzuri hakuna ulazima wa kuwa msomi ndiyo Uwe na pesa.
 
naye hajatulia nakumbuka nilipata safari ya ghafra kwenda paris,ufaransa,, nilipo rudi kuna mambo alinifanyia nkaamua kumuacha
Yani kutoka Ku date watu wa maana hadi wasanii atawakumbuka waliokuwa serious.
 
Unatunyanyapaa kishenzi tusioneda shule na ndo maana hadi wengine wanatuonya kishenzi kutojiweka kwa mwanamke aliyekuzidi hiki au kile!!!

Hivi hakuna mabashite wa kike humu manake hawa akina DB mnh!!!
Wee Chige kwa nondo zako huku JF kichwani uko vizuri sana mi na refer wale wasio jua kitu kabisa yani empty set kabisa.
MA bashite wakike hawakosani kabisa humu
 
I agree with you aisee au naye anataka kubeba maana kuna kipindi walikuwa na bifu na mzazi mwenziwe na kiba
 
Kwa kweli jokate needs to change hata GPA yake nzuri tu sasa haeleweki Mara aguse hichi hakimalizi, umaarufu ungekuwa platform yake nzuri tu kufanya ya maana, IPO siku atakuja kujuta kwa kutumika hovyo na wanaume wasio na mbele wala nyuma.
 
Mkuu muongeze na irene kiwia hawa wadada walisoma alama za nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…