Povu la Jokate

Alibugi kudate na Yule mtu mrefu kama mnazi. Kamuacha kama kisima. Kila boy anayejaribu anazama na kina kirefu. Pole kidoti
 
As long huyo mubabu atampenda na kumjali sioni shida wazee ka wale hawasumbui sasa hawa vijana ni kero tupu wanataka kusuuza rungu kila sehemu ukichangia na ustar plus kiki basi ni majanga
Kusuuza rungu!!!
Duuh, una maneno
 


Hivi hana washauri jamani na umri wote alionao? She's a sad case kwa kweli.....mtu unajitoa povu kwa asiyekutaka?
 
Elimu ni mabadiliko ya tabia maishani kutoka ktk hali duni kiutendaji na kimaono kuelekea kwenye ufanisi.
Kumbuka kuna tofauti ya kusoma ma kuelimika.
Elimu ipi unayomzingumzia?!

Maana hata ukikiaa na babu yako akawa anakuwa mawaidha ukaelimika nayo hiyo ni Elimu pia.
 
Ndio ana msuuza ujue mapenzi ni zaidi ya Ku do sana kupita kiasi kuna vtu vingine vinafanya mwanamke atulie kabisa. Hasa upendo na care
Hao labda walikuwa bibi zetu enzi hizo.

Siku hizi haijulikani kama mapenzi pesa au mapenzi ni kupetipeti.

Ukimpa hela bila kwichikwichi ya kweli utaachwa kwenye mataa na hela zako....Ukipiga kichwikwichi bila hela utaachwa akafatwe mwenye gari.
 
Uprofessor sio kupata cheti ukatulia, ni zaidi ya hapo. Ukiwa na masters kurudi nyuma ukinyamaza tu hata kama unaokota makopo ya kupima chuma chakavu, bado masters yako utakuwa nayo. Ila u professor kuna vitu unatakiwa kuendelea kufanya. Kama lipu sio professor tena maana kutwa kucha anakimbizana na polisi wenye certificate wengine wanamkaba kabali. Professor hakabwi bana
 
Niongezee...umashuhuri pia unatokana na kufanya jambo kubwa kwa jamii wakati umaarufu mara nyingi huendana na mambo binafsi. Kiujumla mtu anaweza kuwa maarufu asiwe mashuhuri ila mtu mashuhuri mara nyingi pia anakuwa maarufu. Mfano Mwl Nyerere anakuwa mtu mashuhuri but ni vigumu kusema Mondi ni mtu mashuhuri, inamake sense zaidi ukisema Mondi ni mtu maarufu.
 
Nimegundua kumbe vile nnavyofikiri kuhusu Jokate ndivyo wanavyomfikiria wengi. Jokate toka zamani alikuwa anaonekana yuko smart sana kichwani tofauti na sampuli za hawa kina Wema Sepetu, cha ajabu mambo anayoyafanya hayana tofauti na hao malaya wengine
 
Shule na mshedede wapi na wapi,we njoo na mavyeti yako uone km hujayatupa...chezea mshedede ww
 
Naomba kuuliza niliwah kuona millard ayo ni msitarab na wakawa wanajitangazia dating na uchumba hii nayo ikafia wapi??
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…