Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengejua ulivyomrembo pasingetosha pmIwe kubwa ndogo ya punda Mimi napenda kufikishwa, kupendwa na kujaliwa ndo silaha kubwa za maangamizi kwangu.
Kusuuza rungu!!!As long huyo mubabu atampenda na kumjali sioni shida wazee ka wale hawasumbui sasa hawa vijana ni kero tupu wanataka kusuuza rungu kila sehemu ukichangia na ustar plus kiki basi ni majanga
Elimu ni mabadiliko ya tabia maishani kutoka ktk hali duni kiutendaji na kimaono kuelekea kwenye ufanisi.Elimu aina faida yoyote kwenye akili za mtu.
Lipumba na kuwa professor ila mambo anayofanya hata mtoto wa form 4 anamtoa akili.
Mastar wetu hawajui potential zao ndo maana wana dharaulika, kiba kamtumia jokate hasa kipindi kile cha timu kiba na mond sasa kaona utimu umepoa huyo kamuacha, vera sidika ni star ila huwezi kukuta anafanya ujinga wa kina Joketi, Jokate ana deserve mambo makubwa kuliko hapo alipo fika.
Hvi wanaume hammuoni jokate jamani mkamuweka ndaniii
Elimu ipi unayomzingumzia?!Elimu ni mabadiliko ya tabia maishani kutoka ktk hali duni kiutendaji na kimaono kuelekea kwenye ufanisi.
Kumbuka kuna tofauti ya kusoma ma kuelimika.
Hao labda walikuwa bibi zetu enzi hizo.Ndio ana msuuza ujue mapenzi ni zaidi ya Ku do sana kupita kiasi kuna vtu vingine vinafanya mwanamke atulie kabisa. Hasa upendo na care
jokate bhn sasa unalalamika nn [emoji3]Ali ni kipenzi cha watu.
Niongezee...umashuhuri pia unatokana na kufanya jambo kubwa kwa jamii wakati umaarufu mara nyingi huendana na mambo binafsi. Kiujumla mtu anaweza kuwa maarufu asiwe mashuhuri ila mtu mashuhuri mara nyingi pia anakuwa maarufu. Mfano Mwl Nyerere anakuwa mtu mashuhuri but ni vigumu kusema Mondi ni mtu mashuhuri, inamake sense zaidi ukisema Mondi ni mtu maarufu.Ni tofauti mkuu japokuwa katika matumizi yetu ya kawaida huwa tunayatumia kama maneno yenye maana moja, maarufu ni mtu anaejulikana na watu wengi either mambo yasiyopendeza jamii au yanayopendeza jamii lakini mashuhuri kuna element ya kukubalika na watu wengi wa rika tofauti tofauti na aina tofauti tofauti ya watu. Otherwise nilikuelewa ila nilikuwa nachombeza tu mkuu
Ila hawako 'smart' upstairs, nadhani elimu ndogo inachangia
Nimegundua kumbe vile nnavyofikiri kuhusu Jokate ndivyo wanavyomfikiria wengi. Jokate toka zamani alikuwa anaonekana yuko smart sana kichwani tofauti na sampuli za hawa kina Wema Sepetu, cha ajabu mambo anayoyafanya hayana tofauti na hao malaya wengineJokate maisha yake yalitakiwa yawe kama kina Nancy summary,jacline ntuyabaliwe,kina Faraja nyalandu Hawa wadada wanajielewa sana na wanakula maisha yao taratiiiiibu hata kama kuna skendo sio rahis sana kuzisikia and yet bado ni maarufu cjui ila mi naona kaliba ya jojo iko kule kwa maana ana akili sana sema cjui what went wrong kuna saa unaweza ukamfananisha na bongo movie kabisa.
Angekuwa anajua angependeleaNdio watanzania tumekariri hivyo,huoni watu wanamsimanga rais kisa hapendelei kuongea english
Umeongelea kitu ambacho una xperience nacho...hongeraAlibugi kudate na Yule mtu mrefu kama mnazi. Kamuacha kama kisima. Kila boy anayejaribu anazama na kina kirefu. Pole kidoti
Yule mtoto ana nyota ya kumegwa na mastaa kama domo na kiba, hasheem thabiti, Fa na watu wengine wenye majina hapa townHvi wanaume hammuoni jokate jamani mkamuweka ndaniii
Yaani ukatoe "stress" mtaani uipeleke nyumbani?Hvi wanaume hammuoni jokate jamani mkamuweka ndaniii
Ahsante mkuu kwa ufafanuziNiongezee...umashuhuri pia unatokana na kufanya jambo kubwa kwa jamii wakati umaarufu mara nyingi huendana na mambo binafsi. Kiujumla mtu anaweza kuwa maarufu asiwe mashuhuri ila mtu mashuhuri mara nyingi pia anakuwa maarufu. Mfano Mwl Nyerere anakuwa mtu mashuhuri but ni vigumu kusema Mondi ni mtu mashuhuri, inamake sense zaidi ukisema Mondi ni mtu maarufu.