RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Huyo jokate nimrahisi sana nimempitia mara mbili ila kitandani hamna kituJokate maisha yake yalitakiwa yawe kama kina Nancy summary,jacline ntuyabaliwe,kina Faraja nyalandu Hawa wadada wanajielewa sana na wanakula maisha yao taratiiiiibu hata kama kuna skendo sio rahis sana kuzisikia and yet bado ni maarufu cjui ila mi naona kaliba ya jojo iko kule kwa maana ana akili sana sema cjui what went wrong kuna saa unaweza ukamfananisha na bongo movie kabisa.
Its not about money Bunsen bana basi tu ni matendo yakitofautiana ki tabia kwangu ni issue kubwa, mfano mi namweshimu Jide prof jay na kina Sugu ka wasanii nguli, sasa hayo ya Ku make money kila mtu mbona ana make tu.Kwasababu ya kazi yao wanayoifanya sio" nadhani watu wa maana kwako n wale wa maofisini tai kubwa moka shati limepigwa pasi likanyooka watanashati lkn mwisho wa siku ni they work for others"watumwa"
au nimekosea.
yani una maana ni gogo?Huyo jokate nimrahisi sana nimempitia mara mbili ila kitandani hamna kitu
Aisee kwanini umemwacha JoJo mkuu nyie ndo mnamfanya hatuliiHuyo jokate nimrahisi sana nimempitia mara mbili ila kitandani hamna kitu
Inaonyesha anapenda kujirahisisha sana na ana huruma mno ndo maana anachezewa kwa kiba alimpenda kweli ila kiba kumbe mpitaji. Kwanini ulimuacha sasa?N
IMEMCHEZEA SANA HUYO KIDOTI
Haigi mifano ya wenzie kama Hoyce temu na faraja kota wapo wametulia na wanaume zao hao wasanii wanaowapenda hawana nia wao wanataka kufunua na kuosha marungu kisha wanasepa wanakuacha ukipiga kelele kwa insta na kwingineko huku hadhi yako ikishuka ukijastuka wanaume wote wanakuona used itakula kwakeJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Wanaume wasio na classy hawako focus kwenye life yani hasa usanii maana una kikomo wengi ni wahuni huni hivi!Unaweza kunilisha neno zaidi kuhusu vijinaume vya ajabu ajabu? ni ombi tu Diva Beyonce
Ahsante Diva kwa elimuWanaume wasio na classy hawako focus kwenye life yani hasa usanii maana una kikomo wengi ni wahuni huni hivi!
Ndo linalomtokea JoJo alivoanza tu na domo ndo alimtia ngundu, tena hawakudumu hata mwezi, au anafikiri akipata asiyejulikana na kutulia labda umaarufu utamuisha, hata ukiwa na heshima utakubalika tu.Haigi mifano ya wenzie kama Hoyce temu na faraja kota wapo wametulia na wanaume zao hao wasanii wanaowapenda hawana nia wao wanataka kufunua na kuosha marungu kisha wanasepa wanakuacha ukipiga kelele kwa insta na kwingineko huku hadhi yako ikishuka ukijastuka wanaume wote wanakuona used itakula kwake
Sio vyema kufungu mkuu, hebu nichek natamani nikwambie kitu dadangu[emoji23]Yani wee acha ndo mana nimefunga PM ctaki majaribu kabisa
Sawa nitakucgeck quigleySio vyema kufungu mkuu, hebu nichek natamani nikwambie kitu dadangu[emoji23]
Itakuwa muruaaa DivaSawa nitakucgeck quigley
sa mbona wanaosemwa hapo wana helaChoka mbaya, visivyo na Hela wala game!
naye hajatulia nakumbuka nilipata safari ya ghafra kwenda paris,ufaransa,, nilipo rudi kuna mambo alinifanyia nkaamua kumuachaAisee kwanini umemwacha JoJo mkuu nyie ndo mnamfanya hatulii
Umeliona hilo yaani ni limbukeni kama mwenzie wakujiita Najdat (mchuchu wa baraka the prince)Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu