Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.

Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.

Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu

Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.

USSR
Inawezekana ikawa ni kweli lakini haifuti ukweli kuwa yake makubaliano ni ya kinyonyaji na kujiondoa itakuwa ngumu. Ukweli ni kwamba inabidi yapitiwe upya maana ipo siku watu tutaanza kulalamika kama tulivyouza madini na wahusika wapo watakuwa dubai na US wakila pension
 
Unajua process za utoaji mizigo kweli?. Naona unajikanyaga.
Hatua 6 tu zafanya kuchukuwa mzigo wako, hapa shida ni 2 tu TRA, hawa wanaweza kucheza ndio wapigaji wakubwa. Urasimu wa kushusha cointaner hilo ni suala jingine.
 
Ndio maana unawalaumu washusha makontena kwa yaliyomo ndani ya kontena. Hujui kila mamlaka ina pa kuanzia.
Tufanye thathmini ndogo sehemu ndogo tu Aiport sehemu labda una mzigo wa kiasi tu, hapa wanaweza kuku overcharge, au ukalipa kwa usawa au ukafanyiwa tathimini ndogo ukalipa kidogo na mimi nikawa na mzigo kama wako nikapigwa. TRA ukiwa na good connection nao na ndio wafanya biashara wanawatumia humo kupoteza mapato. Sasa imagine mtu ana cointainer 20 labda nini kinatokea.
 
Huu utaratibu utaendelea hata wakija hao DP world

You know hiyo project ni mzuri ila serikali ilikosea the way imelileta hili Jambo Kwa watanzania

Na kibaya zaidi kila mtu anaongea anachohisi yeye amekielewa,

Ishu ya msingi ikifika Kwa wanasiasa inakuwa ni hatari
Ukiusoma mkataba unavyotaka unakubaliana nao? au na wewe hujui kilichoandikwa mle?

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Ukiusoma mkataba unavyotaka unakubaliana nao? au na wewe hujui kilichoandikwa mle?

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app

That's sijaongea mkataba, nimeongea deal Yan deal ya kubinafsisha bandari

Huo mkataba watu wengi ambao wanaongea au wanachangia hawaujui wala hawajauona,

Hata ukiwaambia index yake Iko Vipi almost hawajui ila wanatumia hearsays

Ndio maana nimetaka watu ambao ni wataalamu wa haya mambo walitakiwa kutoa Elimu mapema Sana before situation haijawa hivi ilivyo now
 
Tufanye thathmini ndogo sehemu ndogo tu Aiport sehemu labda una mzigo wa kiasi tu, hapa wanaweza kuku overcharge, au ukalipa kwa usawa au ukafanyiwa tathimini ndogo ukalipa kidogo na mimi nikawa na mzigo kama wako nikapigwa. TRA ukiwa na good connection nao na ndio wafanya biashara wanawatumia humo kupoteza mapato. Sasa imagine mtu ana cointainer 20 labda nini kinatokea.
Sasa hapo mnataka kuwabebesha hao kuwa watasolve problem za tra?.
Issue hapa ni meli isikae siku nyingi kwasababu ya ushushaji wa polepole. Pia kuongeza ufanisi wa kuyatoa hapo bandarini na kuyapeleka ICD au kuyasafirisha kwenda nje ya nchi. Swala la udhibiti wa mapato linabaki kwetu. Kifupi unakodi caterpillar kuchonga barabara badala ya kutumia majembe.
 
Tuendeleze kuelezea hili ili kuwapunguzia credibility maaskofu. Tumtetee mama kwa kila nguvu na imani itusaidie kwa kweli. Tusiache kila siku kuanzisha thread na tuwe tunaambiana ili kupeana support kwenye threds zetu.
 
Siasa tu hizi.
Makanisa hayana msaada kwenye jamii, huduma zao kwenye jamii ni gharama

1689168005772.png
 
Kama kikwete alisoma bure sisi watoto wetu wanatozwa pesa ndefu.
Ok. Kwahiyo zina msaada na mpaka akapatikana rais aliyesoma shule za kanisa..!! I just wanted to prove this point
 
Sasa hapo mnataka kuwabebesha hao kuwa watasolve problem za tra?.
Issue hapa ni meli isikae siku nyingi kwasababu ya ushushaji wa polepole. Pia kuongeza ufanisi wa kuyatoa hapo bandarini na kuyapeleka ICD au kuyasafirisha kwenda nje ya nchi. Swala la udhibiti wa mapato linabaki kwetu. Kifupi unakodi caterpillar kuchonga barabara badala ya kutumia majembe.
Sasa kumbe mnajuwa DP mambo ya mapato hayawahusu wao ni ufanisi na TRA kazi yao kukusanya lakini kwa kuwa mfumo utakuja hakuna makaratasi ni mtandao tu inawekwa kwenye system kuna nini huku TRA wanatoza based na original paper added kwenye system hakuna mambo ya kucheza na makadirio.
 
Hujui misamaha ya kodi inavyozungukwa. Katika misamaha ya kodi (mashirika, taasisi) zaidi ya nusu ya mizigo iko nje ya misamaha. Kwa maneno mengine sreikali inapoteza zaidi ya 50% ya pato kupitia misamaha ya kodi.
DPW wanateknolojia yan kisasa itayogundua udanganyifu huo. Hapa ndio walaji wanapolialia.

Unajua pia kwenye maandiko wanasema aliyenacho ataongezewa. Yule anayepiga mdomo bila kuchukua maamuzi ya kufanya vitu kwa vitendo, atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho.
Siamini kuwa hiyo misamaha ya kodi kwa kanisa ndio inayotoa tofauti.
Mbona hamzumngumzii kuuza ardhi yenu badala ya kuwekeza ili mnufaike na hiyo misamahama ya kodi?
 
Back
Top Bottom