Povu langu nisiye na nyumba

Kuangalia series...
 
Ila mi naona kama mama mweny mjengo anakutakia mema au we mwenzetu unatakaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madam tujenge hata ya maboksi.
 
Ntamfikishia taarifa kwamb yule dada mzur mzur wa kile chumb hataki na maisha yake[emoji16][emoji16][emoji16]
We mwambie tu yule mwajei mwenye miguu yote ya kushoto anakaa chumba cha kwenye kona anasema umuache na maisha yake
 
N
Nakubaliana nawe 10/10... Ila ikiwa ujana wako umeupoteza na umechezea shilingi choni !! Ndo basi Tena..!!!
 
Yani ni from no where tu, mtu ndio kwanza kakuona siku ya kwanza
tabu wewe hukumwelewa baada ya hapo angeuliza una mtoto? baba yake mnaishi naye? halafu wewe unamjibu ni stori ndefu siku tukipata muda nitakuhadithia inauma sana(hata kama uwongo ataingia king matatizo yako kuku atanunua yeye lift atatoa yeye na posho atakuachia na mwisho utamalizia siwapendi wanaume na siwezi kumwamini yeyote na kwa kusema hivyo utatengeneza mwaliko mwingine na mingine) akistuka alishakulipia KIKOBA deni.
 
Stori zenu zinaingilia mambo binafsi....hadi unamuuliza mtu unapanga au unaishi kwako mtakuwa mnazungumzia nini.

Kwenye vikundi vya vikoba huwa kuna swala la kufanyia vikao au kukutana nyumbani kwa wajumbe.

Ndiko mambo yanakoanzia.
 
Kuongelea swala la kutokuwa na mpango tayari ni mpango.. acha kuwafikiria vibaya watoto wa form one[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…