Povu langu nisiye na nyumba

Povu langu nisiye na nyumba

Mkuu,maza haus wangu hana noma,namuona kama bi mkubwa wangu tu,samtaim akikorofisha misosi hevi nikiwepo anawapa mabinti zake waniletee,mmoja yuko form one mwingine form five na wala sina mpango wa kuwagonga,na hua wanakaa sana room kwangu kuangalia season.
Wananiita brother bonge.
Kuangalia series...
 
Kukaa kwenye nyumba za watu stress, kwanza ile pressure tu kodi inapoisha, pili kupangiana masharti mara ooh kuingia kwangu mwisho saa mbili, ukitembelewa na wageni zaidi ya wawili mwenye nyumba anaanza kukukata jicho(sie wengine tunaishi kijamaa), ukiingiza wanaume tofauti tofauti kosa eti anataka awe anakuja mmoja( kupangiana hadi kwenye mambo binafsi kwani we mama yangu ebooo)
#nimwendowapovumwanzomwisho
Ila mi naona kama mama mweny mjengo anakutakia mema au we mwenzetu unatakaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madam tujenge hata ya maboksi.
 
Ntamfikishia taarifa kwamb yule dada mzur mzur wa kile chumb hataki na maisha yake[emoji16][emoji16][emoji16]
We mwambie tu yule mwajei mwenye miguu yote ya kushoto anakaa chumba cha kwenye kona anasema umuache na maisha yake
 
N
hahaha boss pote pana umuhimu wake makazi ya hapa dunia na makazi ya uko khera. Mshauri ajenge nyumba mbili zote kwa pamoja.

Hizi kauli huwa zinatolewa na watu wa mungu,mashekh ,ma pastor,askof nk huwa wana nia nzuri lakini zinadumaza sana mind za watu katika utafutaji.
Nakubaliana nawe 10/10... Ila ikiwa ujana wako umeupoteza na umechezea shilingi choni !! Ndo basi Tena..!!!
 
Yani ni from no where tu, mtu ndio kwanza kakuona siku ya kwanza
tabu wewe hukumwelewa baada ya hapo angeuliza una mtoto? baba yake mnaishi naye? halafu wewe unamjibu ni stori ndefu siku tukipata muda nitakuhadithia inauma sana(hata kama uwongo ataingia king matatizo yako kuku atanunua yeye lift atatoa yeye na posho atakuachia na mwisho utamalizia siwapendi wanaume na siwezi kumwamini yeyote na kwa kusema hivyo utatengeneza mwaliko mwingine na mingine) akistuka alishakulipia KIKOBA deni.
 
Stori zenu zinaingilia mambo binafsi....hadi unamuuliza mtu unapanga au unaishi kwako mtakuwa mnazungumzia nini.

Kwenye vikundi vya vikoba huwa kuna swala la kufanyia vikao au kukutana nyumbani kwa wajumbe.

Ndiko mambo yanakoanzia.
 
Mkuu,maza haus wangu hana noma,namuona kama bi mkubwa wangu tu,samtaim akikorofisha misosi hevi nikiwepo anawapa mabinti zake waniletee,mmoja yuko form one mwingine form five na wala sina mpango wa kuwagonga,na hua wanakaa sana room kwangu kuangalia season.
Wananiita brother bonge.
Kuongelea swala la kutokuwa na mpango tayari ni mpango.. acha kuwafikiria vibaya watoto wa form one[emoji41]
 
Back
Top Bottom