miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kuishi na watu kama @ showme walioshiba hela tabu sanaaiseee atakua alichanjiwa aiseee
ila sasa vipi kuhisu wakeze huna hata picha tumuenzi huyu jamaa
miss chagga njoo unaona nimepata habari bila kulipia
Pawa Mabula asili yake kanda ya ziwa. Aliweza kuzuia trekta lisitembee kwa nyele zake na aliweza kuvuta watu wazima walioshiba 20 kwa meno yake. Tairi ya trekta iliweza kupita juu ya tumbo lake akiwa amelala bila kumdhulu. Kilo 100 yeye alizinyenyua kwa meno yake. Miaka ya 1990 kuelekea 2000 alipigana pia mieleka, mpinzani wake mkubwa akiwa Pawa Ngoro.
hahahahaha huyu jamaa ni muongo.ati alikuwa akipangua risasi kwa mkono.... hahaha
kuishi na watu kama @ showme walioshiba hela tabu sana
Lazima ukatae, nasikulazimishi uamini, aliyenisimulia ni baba yangu na walikuwa kikosi kimoja mstari wa mbele na mzee ndo alikuwa kiongozi wake.
binafsi nimemsikia tuu..simjui hata anafananaje?
chapaa kwanza chali yangu
Na wewe sikupi za power Masanja kama unapenda chapaa!
Pawa Mabula asili yake kanda ya ziwa. Aliweza kuzuia trekta lisitembee kwa nyele zake na aliweza kuvuta watu wazima walioshiba 20 kwa meno yake. Tairi ya trekta iliweza kupita juu ya tumbo lake akiwa amelala bila kumdhulu. Kilo 100 yeye alizinyenyua kwa meno yake. Miaka ya 1990 kuelekea 2000 alipigana pia mieleka, mpinzani wake mkubwa akiwa Pawa Ngoro.
Amefariki kama sikosei, alikuwa afisa waJWTZ, wakati wa vita ya Uganda alikuwa kikosi kimoja na baba yangu anasema alikuwa na uwezo wa kupangua risasi za adui kwa mikono, baada ya vita alikuja nyumbani kwetu mara mbili lakini nilikuwa nakimbia kwa kumuogopa.
Alikuwa ni wa kutoka mkoa wa Tabora enzi zake alikuwa ana nguvu sana lakini tatizo lake alikuwa anakunywa sana orange squash ni kinywaji ambacho ni lazima uchanganye na maji lakini yeye alikuwa anapiga dry bila Ku dilute mpaka chupa sita. Hiyo ilimpelekea kupata kisukari na kudhoofika sana, amefariki sasa mungu amuweke pema
Nilisikia eti Pawa Mabula ameokoka na ni mchungaji hivi ni kweli?
1, kwa sasa power mabula ni mchungaji katika kanisa la (TAG) Usharika wa morogoro, pia power mabula au kwa jina lake halisi james mabula, alikuwa ni mmojawapo kati ya watia nia 11 kuwania kuteuliwa na chadema ili kupeperusha bendera ya cdm katika jimbo la morogoro mjini lakini akaanguka ktk kura za ndani za mchujo.natamani siku nisikie stor za pawa mabula
Nilimjua huyu mabula wakati nina miaka 5 au 6 au saba. Miaka ya themaniniNamkumbuka sana huyu jamaa kwani alivuma sana miaka ile.
aliokoka miaka ya 95/96 na alikuwa anapita kuhubiri na kuelezea namna alivyokuwa anatumia nguvu za giza kufanikisha mambo yake.
hadi sasa bado yupo kwenye wokovu.
Jina la Bwana lihimidiwe.
Heshima mkuu. Enzi hizo ulikua primary?Very interesting, nimewahi kumshuhudia miaka ya 1982/3 nikiwa primary Singida mjini huyu bwana alikuwa mwanajeshi, alikuwa na uwezo wa kuvuta magari mawili kwa kuyazuia yasiondoke kwa kutumia mikono yake, magari yakiwa yanakwenda pande tofauti yeye akiwa katikati na kweli magari yalikuwa hayaondoki. Yalikukuwa yakiishia kuunguruma tu bila kufanikiwa kuondoka!!