babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Nashangaa leo hajasema toka Tanzania izaliwe ni mama tu kafanya kila kitu.Kumbe ni habari za Kafulila!!!

😂😂Nashangaa leo hajasema toka Tanzania izaliwe ni mama tu kafanya kila kitu.
Wameshindwa, kujenga madawati ya mbao,hata kama ni kukopa pesa, Ila, watsjenga reli za, juu! Mpaka, huu uchaguzi uishe,tutasikia mengi,View attachment 3358496
==
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri katika jiji la Dar es Salaam.
Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini, Dodoma na kuhudhuriwa na Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Wizara ya Fedha, Bw. Bashiru Taratibu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bi. Zawadi Maginga pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Kampuni ya ALSTOM.
Kama anavyosisitiza siku zote Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na ndio faida ya PPP kwamba ALSTOM watajenga hiyo reli Kwa pesa zao ikiisha tunamwacha anaiendesha Kwa muda wa Mkataba na baada ya Mkataba reli na kila Kitu vinakuwa Mali ya Watanzania.
Hongera Mkurugenzi David Kafulila
==
Sio wao ni WazunguWameshindwa, kujenga madawati ya mbao,hata kama ni kukopa pesa, Ila, watsjenga reli za, juu! Mpaka, huu uchaguzi uishe,tutasikia mengi,
Siasa na utendaji ni vitu tofautiBila Reforms mradi huu utagubikwa na Rushwa.
Kwa hiyo tunasema No Reforms No Election
Soda ipi hapo?Soda na utendaji ni vitu tofauti
🤣🤣Nashangaa leo hajasema toka Tanzania izaliwe ni mama tu kafanya kila kitu.
Tuombe uhaiKusadikika.com
Kwanini viongozi wawe na mahitaji halafu Tanzania isiwe na mahitaji nayo?Read between the lines,,, mfaransa haji kuwaongezea kipato because Tanganyika haihitaji hiyo reli kwa sasa, ila viongozi wana mahitaji nayo...
Hilo jambo ataamua Mbia (investor mwenyewe)Hizi kazi zipewe kampuni za China, kampuni za Ulaya, Marekani na Japan ni waongeaji tu vitendo zero
Nilivyoona kampuni inatajwa ya Ufaransa ujue hapo hakuna kitakachofanyika ni siasa tuHilo jambo ataamua Mbia (investor mwenyewe)
Kuna siku Tanzania itakuwa kama ulayaView attachment 3358496
==
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri katika jiji la Dar es Salaam.
Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini, Dodoma na kuhudhuriwa na Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Wizara ya Fedha, Bw. Bashiru Taratibu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bi. Zawadi Maginga pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Kampuni ya ALSTOM.
Kama anavyosisitiza siku zote Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila na ndio faida ya PPP kwamba ALSTOM watajenga hiyo reli Kwa pesa zao ikiisha tunamwacha anaiendesha Kwa muda wa Mkataba na baada ya Mkataba reli na kila Kitu vinakuwa Mali ya Watanzania.
Hongera Mkurugenzi David Kafulila
==
Haya mambo tunayataka Kwa harakaView attachment 3358496

🤣🤣Pwagu na Pwaguzi.
Sasa tumezoe
Iwe kweli sasa sio maigizoView attachment 3358496