PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

Wameshindwa, kujenga madawati ya mbao,hata kama ni kukopa pesa, Ila, watsjenga reli za, juu! Mpaka, huu uchaguzi uishe,tutasikia mengi,
 
Read Between the Lines,,, mfaransa haji kuwaongezea kipato because Tanganyika haihitaji hiyo reli kwa sasa, na wala mzungu hajawahi kuwa nia ya kumfanya mtanganyika ajiweze kiuchumi, ila viongozi wana mahitaji nayo...
 
Hizi kazi zipewe kampuni za China, kampuni za Ulaya, Marekani na Japan ni waongeaji tu vitendo zero
 
freeway/Motorway ya moro - Dar imebaki kuwa hekaya za Abunuwasi
 
Kuna siku Tanzania itakuwa kama ulaya
 
Haya mambo tunayataka Kwa haraka
 
Tushazoee uchaguzi ..ukikalibiaa ni ahadi nono utasikiaa....
 
Iwe kweli sasa sio maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…