Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Kuna mahali nimeona pdiddy kuandika do not let social media life drive u. Sasa nimemuelewa
 
Kuna mwaka akiwa bado anadate na diamond kwenye birthday day yake alipewa Murano na diamond...walivyozinguana tukaambiwa kumbe hiyo gari aliinunua yeye mwenyewe kwa hela yake diamond alimuongezea kidogo tu!! Ndio nikachoka . Sijui lini wema ataacha show off za kijinga...
gfsonwin nimekumiss mkemwenza
 
Wema utoto mwingi eti anaruka ruka kabisa na lile wigi linapata tabu kila saa kushikwashikwa

Anyway yale maigizo tu gari limekodiwa kwa mwezi mmoja au miwili
Wasanii with full usanii
Ezekiel wa kutoa zawadi gani vileee?
Acha watufurahishe 2025 wengi watakuwa wanaomba kijiko cha chai kwa jirani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…