Hakuna watu wanaopenda ku-fake life kama hawa celebs (actors/actresses/musicians) na social elites. Wao through 'kiki' ndio wanaishi na kuboost fame ili waweze kwenda sawa na wenzao ila in real life hakuna kitu kabisa. Mfano mzuri, kuna siku nilikua pale Triple 7 (roundabout ya kawe) mida Fulani ya mchana nilienda kupata menu na kinywaji kidogo. Aliingia yule msanii gigy money akiwa na crew ya wenzake kama wanne hivi tena walikuja na bajaji, wakakaa kwenye meza moja wakaagiza konyagi kubwa wakawa wanashare huku wakiwa wanapiga simu mbalimbali (sijui ndio kwa madanga wao) wakitengeneza mazingira ya vizinga. Nilishangaa sana ukizingatia gigy alikua ajitapa huko kwenye social networks kua anavaa mawigi ya milioni sijui. Halafu ukimuangalia sasa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (aisee shikamoo filters) utajikuta unachekea mbavuni.
The downfall of wema ilikua after alivopoteza udhamini wa yule (diplomat) aliyemfunguliaga movie production company akamjazia full ma Macintosh PC akampa na ndinga ila baada ya kugundua Kuna watu wanajitifulia kiulaini mshua akamwaga mboga, nyang'anya kila kitu wema. Jiulize kama almost kila bday anapewa ndinga, je kwa sasa ana ndinga ngapi? Ndio maana kuna kipindi alikua so stressed mpaka akawa anavuta ndukuru hadharani pale ununio beach kwa Rasi...
Mifano ipo mingi tu, kama wale ma presenters wa clouds ambao mkikutana nao pale msasani beach club wanaomba bia na kugongea hadi sigara lakini majina makubwa, followers kibao kwenye social networks. Conclusively, kuna maisha halisi na maisha ya kwenye mitandao ya kijamii..