Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.