Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

Wewe jamaa ni mtu masikini sana na utaendelea hivyo kwasababu akili yako imefubaa na umeshajiwekea vikwazo.
Naona umeamua kujielezea rasmi jinsi ulivyo,hiki kiswali chako ndio kiashiria kikuu cha umasikini wako wa akili na mali,mtu aliyezowea kufly hawezi kuuliza huu upumbavu,ndio maana wachangiaji wengi wamekujibu kua hilo ni jambo la kawaida sana.
 
Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.

Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.

Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Hongera kwa kutoa taarifa baadhi watakuona kama muchknow lkn hakuna usafiri uliojaa stress kama ndege amani inakuja tu pale unapokanyaga chini kuelekea gate za kutokea.
 
Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.

Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.

Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Huo mlio ni kawaida sana hata kwa ndege advanced zinazotumiwa na mashirika makubwa duniani kama Qatar Airways, Emirates nk. Hiyo ni kwa sababu flaps (vifuniko) vya landing gear hufunguka huku kukiwa na upinzani mkubwa wa upepo na pressure.
[emoji115]Bila shaka mleta post ushaona mainjinia wa Kibongo na maelezo yao
 
Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.

Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.

Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
kumbe hujui sasa umekuja kulalamikia nini. Halafu acha kiherehere kutaka kuja kutuonesha kuwa ulipanda ndege. Wasukuma ushamba baba lenu
 
Kuna siku nilionaga kwenye kipindi cha kitenge na zembwela kwenye tv wakiinadi Precision air sasa wakaenda hadi kwenye yard yao mahali zinapofanyiwa service na kuwahoji wale mafundi,nilicheka sana nikakuta fundi wao mmoja ni mchaga yupo bwii halafu kachoka sana nikasema uyu mchaga ufundi wa ndege kajifunzia wapi,mpaka hapo nishajua fundi masawe ni wa mchongo
Hao hawaja wahoji ma engineer wa ndege itakuwa
Kwani walipoenda dp world si walienda kumhoji kuli

Ova
 
Nadhani utakuwa na shida zako maana unaleta utani na ujinga kutaja makabila ya watu. Huu ndiyo ushamba kama huna cha kuchangia bora ukae kimya. Kwani wachaga ni viumbe wa ajabu? au wasukuma ni watu wa ajabu? au wamakonde ndiyo watu? au wanyakyusa ndiyo wanafaa kuwa madokta au mafundi? hizi ni tabia za kimama mama ukiona mtu anaongelea ukabila. Changia hoja hujaulizwa kabila au dini.
Mwambie huyo boya anaona ameongea kitu cha maana sana
 
Back
Top Bottom