Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

Ndege ikifungua tairi inatoa sauti ya kishindo kama upo umekaa usawa wa tairi japo sauti sio kubwa sana ..
Sasa sijajua kama kishindo kilizidi kipimo...

Kutoa sauti inatokana kwanza na mfumo wa hydraulics ..kutumia nguvu kubwa kutoa miguu ya tairi ndani kwakuwa kunakuwa na upepo mkali unakinzana na msukumo wa tairi kutoka nje
 
🤣😂 precision air
Hayo ni mascrepa
Si Kuna wakati walifilisika?
Toka are boss wao shirima hamna kitu pale
Wachaga wanagombea urithi wa shirima,so kampuni inajifia kimyakimya
Usirudie kupanda hilo screpa😂
 
Mm nakulaumu sana ulitakiwa utoe taarifa mapema sana kwa kile ulicho kisikia, au kuhisi ili kifanyiwe kazi kwa wakati,kuliko kuleta ujumbe wako hapa,je kama ikitokea wahusika wasipite humu jukwaani halafu ikatokea ajari ikaua watu utajisikiaje?
Mimi pia nakulaumu kwa kunilaumu hapa badala ya kuwafikishia ujumbe precision mara baada ya kuusoma.
 
🤣😂 precision air
Hayo ni mascrepa
Si Kuna wakati walifilisika?
Toka are boss wao shirima hamna kitu pale
Wachaga wanagombea urithi wa shirima,so kampuni inajifia kimyakimya
Usirudie kupanda hilo screpa😂
Ndege zao zipo consistent kwa kiasi kikubwa na waliweza kusimama hata kipindi cha jiwe.
 
Kuna siku nilionaga kwenye kipindi cha kitenge na zembwela kwenye tv wakiinadi Precision air sasa wakaenda hadi kwenye yard yao mahali zinapofanyiwa service na kuwahoji wale mafundi,nilicheka sana nikakuta fundi wao mmoja ni mchaga yupo bwii halafu kachoka sana nikasema uyu mchaga ufundi wa ndege kajifunzia wapi,mpaka hapo nishajua fundi masawe ni wa mchongo
Nadhani utakuwa na shida zako maana unaleta utani na ujinga kutaja makabila ya watu. Huu ndiyo ushamba kama huna cha kuchangia bora ukae kimya. Kwani wachaga ni viumbe wa ajabu? au wasukuma ni watu wa ajabu? au wamakonde ndiyo watu? au wanyakyusa ndiyo wanafaa kuwa madokta au mafundi? hizi ni tabia za kimama mama ukiona mtu anaongelea ukabila. Changia hoja hujaulizwa kabila au dini.
 
Landing gears zinakuwa operated na hydraulic, ndege inapokuwa angani, hizo gears zinakunjwa ili kuwa accommodated kwenye room ya engine, na inapotaka kutua, hydraulic inazioperate kwa ajili ya kuzikunjua (arms and wheels) zisimame wima na kutembea kwenye run way. Kile kishindo ni impact ya wheel arms zinapokita mwisho baada ya kuwa operated na hydraulic.
Thread closed!
 
Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.

Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.

Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Howling sound ni kitu cha kawaida mkuu
 
Back
Top Bottom