Ni kawaida sana ingawa inabidi wafanye geesing kidogo kupunguza keleleJana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi
kushuka.
Kuna siku nilionaga kwenye kipindi cha kitenge na zembwela kwenye tv wakiinadi Precision air sasa wakaenda hadi kwenye yard yao mahali zinapofanyiwa service na kuwahoji wale mafundi,nilicheka sana nikakuta fundi wao mmoja ni mchaga yupo bwii halafu kachoka sana nikasema uyu mchaga ufundi wa ndege kajifunzia wapi,mpaka hapo nishajua fundi masawe ni wa mchongoJana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Huo mlio ni kawaida sana hata kwa ndege advanced zinazotumiwa na mashirika makubwa duniani kama Qatar Airways, Emirates nk. Hiyo ni kwa sababu flaps (vifuniko) vya landing gear hufunguka huku kukiwa na upinzani mkubwa wa upepo na pressure.
SawaMwanza mbali sana kwa gari. Siku nzima njiani inachosha sana.
Shida umeanza kupanda ndege uzeeni. HAKUNA ndege isiyopiga hizo kelele wakati wa kutoa au kurudisha matairi. Na siti ya kwenye mbawa utaiskia vizuri zaidi.Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Sahihi, ila vigezo vya usalama katika usafiri wa ni vya hali ya juu sana. Kabla ya ndege kuruka hufanyiwa ukaguzi na watu/taasisi tofauti na shirika la ndege husika.Kweli kabisa. Ndege tunazipenda ila zikizingua huwa ni disaster.
Mm nakulaumu sana ulitakiwa utoe taarifa mapema sana kwa kile ulicho kisikia, au kuhisi ili kifanyiwe kazi kwa wakati,kuliko kuleta ujumbe wako hapa,je kama ikitokea wahusika wasipite humu jukwaani halafu ikatokea ajari ikaua watu utajisikiaje?Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Flaps zinaongeza ukubwa wa mabawa ya ndege hasa wakati wa kutua ili kuifanya ndege ielee angani kwa kuwa engine zinakuwa zimepunguza nguvu.Na kwanini mabawa ya ndege huwa yanafunguka na kujifunga ndege inapokuwa angani? Ukikaa dirishani usawa wa bawa la ndege utakuta kitu cha namna hiyo.
Flaps zinaongeza ukubwa wa mabawa ya ndege hasa wakati wa kutua ili kuifanya ndege ielee angani kwa kuwa engine zinakuwa zimepunguza nguvu.
Hiyo ni kwa sababu ya kuregulate speed na kukata kona. Unavyoona kuna vitu vinasimama hapo ni kuongeza ukinzani ili kupunguza speed au kukata kona (turn). Kwa ajili ya kuregulate speed hufanyika kwa mabawa yote kwa wakati moja. Ili kukata hufanyika kwa upande moja ambako ndege imekusudiwa kugeuka (turn).Na kwanini mabawa ya ndege huwa yanafunguka na kujifunga ndege inapokuwa angani? Ukikaa dirishani usawa wa bawa la ndege utakuta kitu cha namna hiyo.
Landing gears zinakuwa operated na hydraulic, ndege inapokuwa angani, hizo gears zinakunjwa ili kuwa accommodated kwenye room ya engine, na inapotaka kutua, hydraulic inazioperate kwa ajili ya kuzikunjua (arms and wheels) zisimame wima na kutembea kwenye run way. Kile kishindo ni impact ya wheel arms zinapokita mwisho baada ya kuwa operated na hydraulic.Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Ndege ndogo stability yake ni ndogo sana upepo na mawingu huziyumbisha sana. Zingine kwa udogo wake huwa hazina mahali pa kuhifadhi landing gears hivyo huruka na landing gear zikiwa nje.Umenikumbusha mara yangu ya kwanza nilipanda zile ndege ndogo Cessna 172 chuma ilikua inatetemeka na inakelele kinyama nilivyotua nikapanda kimbinyiko yaani kimbinyiko ndo nikaona ni ndege alafu ndege ndo kimbinyiko