Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

Ndege ikifungua tairi inatoa sauti ya kishindo kama upo umekaa usawa wa tairi japo sauti sio kubwa sana ..
Sasa sijajua kama kishindo kilizidi kipimo...

Kutoa sauti inatokana kwanza na mfumo wa hydraulics ..kutumia nguvu kubwa kutoa miguu ya tairi ndani kwakuwa kunakuwa na upepo mkali unakinzana na msukumo wa tairi kutoka nje
 
🤣😂 precision air
Hayo ni mascrepa
Si Kuna wakati walifilisika?
Toka are boss wao shirima hamna kitu pale
Wachaga wanagombea urithi wa shirima,so kampuni inajifia kimyakimya
Usirudie kupanda hilo screpa😂
 
Mm nakulaumu sana ulitakiwa utoe taarifa mapema sana kwa kile ulicho kisikia, au kuhisi ili kifanyiwe kazi kwa wakati,kuliko kuleta ujumbe wako hapa,je kama ikitokea wahusika wasipite humu jukwaani halafu ikatokea ajari ikaua watu utajisikiaje?
Mimi pia nakulaumu kwa kunilaumu hapa badala ya kuwafikishia ujumbe precision mara baada ya kuusoma.
 
🤣😂 precision air
Hayo ni mascrepa
Si Kuna wakati walifilisika?
Toka are boss wao shirima hamna kitu pale
Wachaga wanagombea urithi wa shirima,so kampuni inajifia kimyakimya
Usirudie kupanda hilo screpa😂
Ndege zao zipo consistent kwa kiasi kikubwa na waliweza kusimama hata kipindi cha jiwe.
 
Nadhani utakuwa na shida zako maana unaleta utani na ujinga kutaja makabila ya watu. Huu ndiyo ushamba kama huna cha kuchangia bora ukae kimya. Kwani wachaga ni viumbe wa ajabu? au wasukuma ni watu wa ajabu? au wamakonde ndiyo watu? au wanyakyusa ndiyo wanafaa kuwa madokta au mafundi? hizi ni tabia za kimama mama ukiona mtu anaongelea ukabila. Changia hoja hujaulizwa kabila au dini.
 
Thread closed!
 
Howling sound ni kitu cha kawaida mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…