President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

40 Tanzanian Engineering Professors were told to sit in an Air Tanzania. when they were all seated and the plane was about to take off, they were told the plane was made by their own students.They quickly run out of the plane leaving only one professor, Eng. Rweyemamu who was sitting confidently. When he was asked why he is still sitting, he said..." if the plane was made by our own students, trust me it won't even start !!!"

interested
 
vijiba vitawaua watu

waTz kwa wivu bwana, hawapendi kabisa mafanikio ya wenzao. Ushauri kwa vile wakati huu ni wa 50/50, Vyuo vikuu hapa nchini viangalie uwezekano wa kumpa 1st Lady udakta.

Wakati wanaelekea kungatuka wafanane fanane mama dakta, mzee profu.

Daraja la kigamboni na udom viitwe Kikwete.
 
Ndio kashapewa hivyo. Ni Prof. JK
 
Thanks prof J wa Mitulinga.hata mimi huku kwetu naitwa prof,dr hilo ni jina tuu..mbuuuuuuuu
 
Alipopewa honorary doctorate basi ikawa initial rasmi Dr. Kikwete mpaka ikawa inaboa......, sasa kapewa honoray professorship huko china. Anzeni kumwita Prof. Kikwete tuone....

Hata maji marefu nae ni Professor, kuna prof. Jay wa mitulinga, kuna Dr. Cheni...., sio mbaya kuwa na Prof. Kikwete.




Chanzo:Michuzi

inawezekana wivu una kusumbua kwani yeye aliomba,basi usijali ataitwa prof. Mbowe.
 
Duuh china waendelea kutoa bidhaa feki,sasa ni uprof na wameanza na prezidaa wetu
 
wacheni wivu jamani. hiyo ni heshima kapewa.

Kweli Wachina kiboko, yaani wanampatia uprofesa wa kichinachina duuuh, hivi duniani hapa nani kiongozi mwingine alishawahi pewa uprofesa kama huo?
 
Ndio wamemuona yeye duniani kote,wampe na udokta wa sembe basi
 
Mmmmmh hawa wachina wanataka nini tena uku Tz maana huu u-profesa tutakuja kulipa hata bahari ya Hindi yote ngoja tuone hawa wehu wakikusifia ujue wanakuvizia kwenye kona.
 
ataitwa tu kama utakii kumuita kaa kimya !!!!
kwan wa kwanza yeye kutunukiwa uproff
 
China wamewamaliza Wamarekani kabisaaaa, wameona Dr zimezidi wakaamua kumkomesha
 
Namkumbuka sana Francis Kasavubu alipokuwa akituvundisha kutongoza,kwamba haijarishi kama mwanamke ni mkubwa ki umri kukuzidi,ni boss wako,ni mrembo sana au ni mke wa mtu,kama dhamira yako imekutuma kumfanya we msifie tu,na usiwe mzembe kwenye kutoa sifa hasa za kijinga,kazi yako iwe moja tu kumsifia baasi.

Umemla.


Ndo kinachofanyika sasa.
 
nimeamini!ni heri kuwa maskini wa mali na fedha kuliko umaskini wa akili
 
China wamewamaliza Wamarekani kabisaaaa, wameona Dr zimezidi wakaamua kumkomesha

Hahahahaha wamemkomeshaje!!! Wachina ni balaaa.

Uprofu feki nje nje.

Hivi rais wao anayo hata doctrate.
 
Back
Top Bottom