josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,041
Wizara ya Afya imethibitisha kwamba Tanzania hatuna maabara ya kupima EBOLA. Basi tahadhari hii imenikumbusha hoja ambayo Profesa Jakaya Mrisho aliitoa wakati akishiriki panel ya marais waafrika walipokuwa wamealikwa na Rais Obama mjini Washington DC Agosti 2014. Huku akitabasamu na kuchekacheka kidogo alisema huo ni ugonjwa wa Afrika Magharibi!!!
Hayo ya kuhusu uwezo wa Tanzania kutokuwa na maabara ya kupima virusi vya Ebola ni sawa? Souce please!
Kwa wale wenye majina yanayoanza na prof inabidi watuelimishe hizo doctor, prof zinatolewa kwa vigezo gani?
Inaonekana kupata udoctor na uprof siyo issue.
Kuanzia sasa name najiita Eng. Josam bodi ya wahandisi isilete usanii kuzuia watu kujiita title hiyo ilihali taaluma nyingine hawana gere..... over?