President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

Huo uprofessa ni daraja ambalo wachina wameweka ili kuchukua chochote bila kuulizwa
 
40 Tanzanian Engineering Professors were told to sit in an Air Tanzania. when they were all seated and the plane was about to take off, they were told the plane was made by their own students.They quickly run out of the plane leaving only one professor, Eng. Rweyemamu who was sitting confidently. When he was asked why he is still sitting, he said..." if the plane was made by our own students, trust me it won't even start !!!"

Hii kali aiseeee
 
..hicho chuo cha kilimo Beijing wamempa JK u professor kwasababu ya kupokea wanafunzi weengi wa kitanzania hapo chuoni....Hiyo ni asante kapewa JK kwa kuchangia wingi wa wanafunzi wa kibongo hapo chuoni....Kwa wanaopinga wajue wajue kuwa kule china chuo kinapopokea wanafunzi weengi wa kigeni toka nchi fulani ina maana pia kuwa hata gradute/post gradute students wanaongezeka na chuo kinapata sifa kwa kusomesha wanafunzi hao....kwa hiyo automatically JK amepongezwa kwa kuchangia gradute/postgraduate students hapo chuoni....

...Hizo blah blah za maendeleo ya kilimo TZ ni mbwembwe tu kwani wote twajua hali ya kilimo chetu bongo ni feki.....
 
Huyu mshikaji jana kaniboa na kizungu chake!! Licha ya kuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10 na presidaa kwa miaka 8, kizungu bado ni issue.
Angekosea Kikwere ndio ungemlaumu, lakini kimalikia sio lugha ya msoga.!
 
Atakuja Salva kulisemea hili





Kwa kweli ni aibu,hivi mwl nyerere aliyekataa kuuza nchi ndio maana hawakumpa hata hati ya utumishi,leo rais anatembelea chuo kikuu cha kilimo huku kwake kilimo kimekwama anapewa uprofessa?
Tuna watu muhimu sana duniani,lakini hakuna aliyewahi pewa udokta au upeofessa wa heshima.ndio maana rais yupo tayari kushusha alama za ufaulu ili tupate wasomi wa jinsi tulivyo.Nelson Mandela alipigania uhuru,alifungwa,alijenga umoja kati ya wazungu na waafrika,aliinua uchumi,alijenga jeshi la kisasa,alifanikiwa kuiahawishi CAF ikampa kuwa mwandaajikombe la afrika na akashinda! Kwa nini wachina na wazungu?
Wachina wametuoneaha wanavyotujua sisi kwa kuwa tumeuzwa kwa kujua sisi tukoje,tumeuza gesi wachimbe kwa miaka 99! Kwanini wasitoe upeofessa?
 
Mbwa ukimjua jina hakupi shida. Ok, Prof, prof, come, come......:banplease:
 
40 Tanzanian Engineering Professors were told to sit in an Air Tanzania. when they were all seated and the plane was about to take off, they were told the plane was made by their own students.They quickly run out of the plane leaving only one professor, Eng. Rweyemamu who was sitting confidently. When he was asked why he is still sitting, he said..." if the plane was made by our own students, trust me it won't even start !!!"
nimecheka sina mbavu. You made my day!
 
Ni haki yao kumpa u professor. Kama Tanzania nzima JK kawapa wachina wajenge barabara na kuwaacha watanzania waliosomea engeneering wakae benchi, unadhani Rais huyu anastahili zawadi gani?
 
Mmmmmh hawa wachina wanataka nini tena uku Tz maana huu u-profesa tutakuja kulipa hata bahari ya Hindi yote ngoja tuone hawa wehu wakikusifia ujue wanakuvizia kwenye kona.
Siyo wanataka nini bali wamepata nini
1)Ujenzi wa mabarabara
2)Bomba la gasi na mitambo ya kusafisha gasi
3)Bandari ya Bagamoyo
4)Ujenzi wa nyumba 12,000 za wanajeshi
5)Uwekezaji NHC (Financial Centre, Setellite city)
6)Watajenga reli ya kati

Sasa yote hayo ni fadhila za mkuu wa kaya. Wamerudisha shukrani.
 
Acha wivu wa kike, slaa lazima ampe shkamoo.

Mkuu hapo umenena, huu wote ni wivu tu, kwani walichofanya wachina sio kipya kinalingana kabisa na Idd Amini dada alipomvisha mwanae minyota(mivyeo) kibao na kumfanya mkuu wa majeshi, wenye wivu wenyegele kama mkuu wa kaya anavyopenda kutumia walichonga sana. Hongera wachina kwa kumwiga Iddi amine dada!
 
Si angepewa huyo alieandika hotuba? I am just thinking LOUD!
 
Back
Top Bottom