President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

nimeamini!ni heri kuwa maskini wa mali na fedha kuliko umaskini wa akili
 
Ukitaka kumuua kumbikumbi mpe mabawa. Akishapata mabawa ataruka juu na kujiona mjanja. Hatima yake ni kuliwa na kunguru hukohuko hewani. Mwisho wa hadithi. Hadith hii inatufundisha nini?


Inatufundisha kuwa sifa za kijinga hazifai na hapo anaekusifia ana kitu anakitafuta kwako ndio sababu ya kukuzidishia kimo cha masikio,wakoloni wamebadili majina siku hiz.
 
Wanataka gas ya mtwara, loooh! nimekumbuka story ya …"An old man and the medal"
 
Kikwete amefurahia kweli kupewa u-profesa na Wachina kama tu Chifu Mangungo alivyofurahia kupewa kioo cha kujiangalia!!
 

Attachments

  • IMG_40924906863816.jpeg
    IMG_40924906863816.jpeg
    9.2 KB · Views: 486
  • IMG_6188266722683.jpeg
    IMG_6188266722683.jpeg
    7.7 KB · Views: 485
  • IMG_32002600711955.jpeg
    IMG_32002600711955.jpeg
    10.3 KB · Views: 485
  • IMG_7795064789329.jpeg
    IMG_7795064789329.jpeg
    9.7 KB · Views: 496
Wachina pamoja na kutuuzia bidhaa feki wameona haitoshi na sasa wametuletea prof feki.!!
 
Wizara ya Afya imethibitisha kwamba Tanzania hatuna maabara ya kupima EBOLA. Basi tahadhari hii imenikumbusha hoja ambayo Profesa Jakaya Mrisho aliitoa wakati akishiriki panel ya marais waafrika walipokuwa wamealikwa na Rais Obama mjini Washington DC Agosti 2014. Huku akitabasamu na kuchekacheka kidogo alisema huo ni ugonjwa wa Afrika Magharibi!!!
 
Ukitaka kumuua kumbikumbi mpe mabawa. Akishapata mabawa ataruka juu na kujiona mjanja. Hatima yake ni kuliwa na kunguru hukohuko hewani. Mwisho wa hadithi. Hadith hii inatufundisha nini?

hahahahaha,umetisha mkuu
 
Hahahahaha wamemkomeshaje!!! Wachina ni balaaa.

Uprofu feki nje nje.

Hivi rais wao anayo hata doctrate.
Maana unaweza kukuta wamempa upro-pesa JK wakati rais wao hawajampa, ndio hapo utagundua kwamba huo uprofesa 'is not for human consumption, is poisonous/toxic or simply a bait'
 
Back
Top Bottom