President Mobutu Sese Seko of Zaire

Mke wa kwanza wa Mobutu Maria Anttoinette alikufa baada ya kupigwa na mumewe akiwa mja mzito. Mobutu aliumia sana kwani alimpenda sana mkewe. alimuahisha Brussels kwa ndege lakini haikusaidia.
Well,kama alimpenda sana ikawaje akampiga ili hali alikuwa mjamzito mpaka akamsababishia kifo?
 
Alimfunga mwanamziki franco kisa franco alikua akiimba kuukosoa utawala wake lakini baadea alimtoa baada ya kumtungia wimbo murua unaoitwa Candidat na Bisso MOBUTU wimbo huu ukiachilia unamsifia mobtu but huwa naupenda sana bonge moja la wimbo..
 
Dikteta wote upenda kusifiwa tu
 
Aliwaambia nyie polisi na wanajeshi hamna akili mnanidai mshahara wakati mmebeba bunduki jiongezeni
 
Alikataa na ukiangalia vizuri hakuhusika
Yeye alimueka lumumba house arrest ,lumumba mwenyewe akatoroka ndio akaenda kukamatwa huko na wanajeshi wengine wakamuua na kuteketeza mwili wake na acid
Agizo lilitoka US
We unampenda sana Mobutu!

Mauaji yake alihusika bana
 
Lukas naona hapa umeingiza mahaba binafsi kwa role model wako Mobutu.

kiukwel na kiuhalisia rais Mobutu alihusika kwa asilimia zote kupinduliwa na kisha kuuwawa kwa waziri mkuu Lumumba akishirikiana na Ubelgiji na sherika la kijasusi la America(CIA)
 
unatisha dada ake!
 
Mobutu, Kasavubu, Moise Tshombe wote waligeuzwa kuwa vibaraka wa mabeberu ila Mobutu aliitumia fursa hiyo vizuri kwa kuwamaliza wote na kuitawala Zaire.
 
Aliwaambia nyie polisi na wanajeshi hamna akili mnanidai mshahara wakati mmebeba bunduki jiongezeni
[emoji23]alikua mtata mno aliwahi pia kusema
"Ukiiba iba kwa akili sio uibe sana ili utajirike usiku kucha utakamatwa"

Pia adolph hitrel aliwahi sema
"What a fortunate for a man that people dont think"

Pia akasema "uongo ukiuongea mno watu lazima waamini tu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…