mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Well,kama alimpenda sana ikawaje akampiga ili hali alikuwa mjamzito mpaka akamsababishia kifo?Mke wa kwanza wa Mobutu Maria Anttoinette alikufa baada ya kupigwa na mumewe akiwa mja mzito. Mobutu aliumia sana kwani alimpenda sana mkewe. alimuahisha Brussels kwa ndege lakini haikusaidia.