Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Haha sawa mkuu, lakini kwa vyovyote vile alikua sahihiLukas naona hapa umeingiza mahaba binafsi kwa role model wako Mobutu.
kiukwel na kiuhalisia rais Mobutu alihusika kwa asilimia zote kupinduliwa na kisha kuuwawa kwa waziri mkuu Lumumba akishirikiana na Ubelgiji na sherika la kijasusi la America(CIA)
Mkuu unakula bata. Hilo jiji nina tamani kufika hilo na belgiumsafi nipo jijini Antwerp
Walisema hivo watu wa zaire kuwa aliambiwa amtoe mwanae kipenzi aliyeitwa nyiwa lakini yeye akakataaMbona alifiwa sana?
Mambo ya kukosea masharti hayo.Uchawi uchawi tu
Shida ya viongozi wa kiafrica uamini ndumba 100% bila kuongeza na elimu zingine mfano general knowledgena ilifanyiwa ushirikina ili aogopeke.
ahahahahahahaaaaaaa_mimi mzima sana bhana,...ukienda Yaeda juu salimia Preta na Valley
Yeah sana mkuuYaeda chini nako umewahi fika?mang'ola?endamagha?sedaiko?
Mkuu hiyo lugha ganiwzzzk7xvxh^?
[emoji31] [emoji31] [emoji31]Mke wa kwanza wa Mobutu Maria Anttoinette alikufa baada ya kupigwa na mumewe akiwa mja mzito. Mobutu aliumia sana kwani alimpenda sana mkewe. alimuahisha Switzerland kwa ndege lakini haikusaidia.
Hii sijawahi kuisikia mkuu.Inasemekana alimuweka jela Franco Luambo kwa sababu alimvisha mbwa wake mavazi yaliyofanana na mavazi aliyokuwa akivaa Mobutu mwenyewe
Tatizo linalo isumbua historia ya nchi za africa ni kwamba imeegemea sana kwenye fasihi simulizi, hata fasihi andishi inapotumika pia bado vyanzo vyake pia huwa na utata. Na ndio maana huwa nikiandika kitu ambacho nimesimuliwa huwa sikosi kutumia neno ''NASIKIA''Hii sijawahi kuisikia mkuu.
Ila sources nyingi za kuhaminika zinadai ni sababu franco alikosoa utawala na aliimba nyimboza matusi
Speaking kuhusu mavazi.franco akiwa anawekwa jera mobutu alipendelea nguo nyeusi kama za mao tsetung na alizifanya vazi lA taifa hadi franco alizivaa hizo
Anyway nitafuatilia hii issue