President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

Lukas naona hapa umeingiza mahaba binafsi kwa role model wako Mobutu.

kiukwel na kiuhalisia rais Mobutu alihusika kwa asilimia zote kupinduliwa na kisha kuuwawa kwa waziri mkuu Lumumba akishirikiana na Ubelgiji na sherika la kijasusi la America(CIA)
Haha sawa mkuu, lakini kwa vyovyote vile alikua sahihi

Imagine ww ndio mkuu wa jeshi alafu waziri mkuu anaguagiza umkamate rais na rais anakuagiza umkamate waziri mkuu .ungefanyaje ?
 
Mbona alifiwa sana?
Mambo ya kukosea masharti hayo.Uchawi uchawi tu
Walisema hivo watu wa zaire kuwa aliambiwa amtoe mwanae kipenzi aliyeitwa nyiwa lakini yeye akakataa
Matokeo yake wakaanza kufa watoto mmoja baada ya mwingine

Ila mimi nahisi pia mke wake wa pili aliwaua baadhi kwa uchawi kwa sababu baada ya mke wa kwanza wa mobutu kufa mobutu alimchagua mchepuko wake mmoja aliyeitwa mama 41 (alimiliki majumba 41 wanasema) ndiye awe mke lakini huyu maza siku chache kabla ya harusi akawa kipofu hivyo mobutu ikabidi amuoe bobi ladawa na baada ya ndoa yule maza akapona
 
Mke wa kwanza wa Mobutu Maria Anttoinette alikufa baada ya kupigwa na mumewe akiwa mja mzito. Mobutu aliumia sana kwani alimpenda sana mkewe. alimuahisha Switzerland kwa ndege lakini haikusaidia.
[emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Mobutu alitumia nafasi/mwanya wa tofauti kati ya aliyekuwa rais na aliyekuwa waziri mkuu kujiinua kwenye kiti cha uraisi. Kweli ni opportunist
 
Inasemekana alimuweka jela Franco Luambo kwa sababu alimvisha mbwa wake mavazi yaliyofanana na mavazi aliyokuwa akivaa Mobutu mwenyewe
 
Inasemekana alimuweka jela Franco Luambo kwa sababu alimvisha mbwa wake mavazi yaliyofanana na mavazi aliyokuwa akivaa Mobutu mwenyewe
Hii sijawahi kuisikia mkuu.
Ila sources nyingi za kuhaminika zinadai ni sababu franco alikosoa utawala na aliimba nyimboza matusi

Speaking kuhusu mavazi.franco akiwa anawekwa jera mobutu alipendelea nguo nyeusi kama za mao tsetung na alizifanya vazi lA taifa hadi franco alizivaa hizo
Anyway nitafuatilia hii issue
 
Hii sijawahi kuisikia mkuu.
Ila sources nyingi za kuhaminika zinadai ni sababu franco alikosoa utawala na aliimba nyimboza matusi

Speaking kuhusu mavazi.franco akiwa anawekwa jera mobutu alipendelea nguo nyeusi kama za mao tsetung na alizifanya vazi lA taifa hadi franco alizivaa hizo
Anyway nitafuatilia hii issue
Tatizo linalo isumbua historia ya nchi za africa ni kwamba imeegemea sana kwenye fasihi simulizi, hata fasihi andishi inapotumika pia bado vyanzo vyake pia huwa na utata. Na ndio maana huwa nikiandika kitu ambacho nimesimuliwa huwa sikosi kutumia neno ''NASIKIA''

Naamini hata hilo suala la Franco kuikosoa serikali ya Mobutu kwenye nyimbo zake utakuwa ume_hadithiwa tuu.
 
Naomba mkuu uliweke vizuri hili suala la Franco kuikosoa serikali ya Mobutu kwenye nyimbo zake. Naamini unafahamu mengi kuhusu Franco luambo & Mobutu

cc mtu chake
 
Back
Top Bottom