Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Haha sawa mkuu, lakini kwa vyovyote vile alikua sahihiLukas naona hapa umeingiza mahaba binafsi kwa role model wako Mobutu.
kiukwel na kiuhalisia rais Mobutu alihusika kwa asilimia zote kupinduliwa na kisha kuuwawa kwa waziri mkuu Lumumba akishirikiana na Ubelgiji na sherika la kijasusi la America(CIA)
Imagine ww ndio mkuu wa jeshi alafu waziri mkuu anaguagiza umkamate rais na rais anakuagiza umkamate waziri mkuu .ungefanyaje ?