President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

Khaligraph Jordan,
Hivi we unazungumza vitu gani, usilete uzalendo kwenye no, kisa tu mna kariri eti wazungu ni propagandist basi ndio hata kuona hamuoni, Mobutu alikuwa na maisha ambayo hata J F Kennedy alikuwa anaota, usione ni raisi marekani ndio uone angeweza mfikia maisha, sijazungumzia mambo aliyokuwa anafanya Kennedy nimezungumzia uchumi wa Mobutu ulikuwa tishio mzee.
Kijana aliyeoa binti wa Mobutu aliyeitwa Yaki kipindi hicho alieleza mwenyewe jinsi ilivyokuwa, Keki ilikuwa na thamani ya $65,000, Yaki alivaa gauni lenye thamani ya $70,000 na mikufu yenye thamani ya $3 million, Huyo Pierre Janssen aliyemuoa Yaki ni mzungu lakini alishangazwa na jinsi Mobutu alivyokuwa akila bata.
bd95a5d722a9a887c4ee93981a28421f.jpg

Tafuta hiko kitabu bro ujue vizuri, Hizo pesa za keki na gauni na mikufu ni miaka hio, hio pesa uki convert kwa leo inakuwa kiasi gani? jumla ametumia 3135000 ($3.135m) kwenye vitu vichache tu sio harusi kwa ujumla, unajua hio ni shilingi ngapi kwa sasa?
Ukiingiia kwenye website inaitwa dollartimes (tazama inflation) utaweza convert ujue hio pesa ni kiasi gani kwa sasa, kwa maana 3 million dollar ya 1980 ni $9,826,584.09 ya 2019 upo hapo? Unajua networth ya Obama? ana $40 mil, mwenzake alitumia 3 million kununua mikufu ya binti yake wakati huo Obama yupo shule..
 
mchichapori,
😝😝😝😝😝 Eisenhower na John F Kennedy unawasikia tu nadhani, hao watu walikuwa matajiri matajiri sana.
Ukibisha naanza kukuwekea mapicha yao ulinganishe na huyo Mobutu uone
 
😝😝😝😝😝 Eisenhower na John F Kennedy unawasikia tu nadhani, hao watu walikuwa matajiri matajiri sana.
Ukibisha naanza kukuwekea mapicha yao ulinganishe na huyo Mobutu uone
Katika maraisi wa marekani woooote, aliye tajiri sana ni Trump ana $4.5B, Kennedy ana 1.1B na hio ni kwenye current dollar, ingia usatoday utazame bro, Mobutu ana $12B, ukweli ndio huo usimlingnish Kennedy na Mobutu.
 
Back
Top Bottom