Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
mkuu hii roho baba jesca hamwachiNaanza kuamini mtu akifa roho yake inahamia kwa mtu mwingine anayeishi. Dalili zipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hii roho baba jesca hamwachiNaanza kuamini mtu akifa roho yake inahamia kwa mtu mwingine anayeishi. Dalili zipo!
Nasikia ndo role modal wa mbowe
Bado unaona alichofanya ni kawaida??Nayajua nimekaa Goma mwaka mmoja hivyo nayajua kupitiliza
Si nasikia alikaa muda mrefu madarakani..... Aligoma kung'oka...Ebu ww fikiria tu kwa kuweka mihemko pembeni ni mbowe au atakuwa ni wa MEKO...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Very normalBado unaona alichofanya ni kawaida??
Katika maraisi wa marekani woooote, aliye tajiri sana ni Trump ana $4.5B, Kennedy ana 1.1B na hio ni kwenye current dollar, ingia usatoday utazame bro, Mobutu ana $12B, ukweli ndio huo usimlingnish Kennedy na Mobutu.😝😝😝😝😝 Eisenhower na John F Kennedy unawasikia tu nadhani, hao watu walikuwa matajiri matajiri sana.
Ukibisha naanza kukuwekea mapicha yao ulinganishe na huyo Mobutu uone
Wee-wee!Naanza kuamini mtu akifa roho yake inahamia kwa mtu mwingine anayeishi. Dalili zipo!
Tutaendelea kuwakumbushasikio la kufa halisikii dawa
wanachimba kaburi refu sana kwa watanzaniaTutaendelea kuwakumbusha