Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hapana , bali hofu yangu ni huo mnyororo wa Mobutu , unaponaje hapo sasa ?
[emoji23] mimi sio mwanae
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana , bali hofu yangu ni huo mnyororo wa Mobutu , unaponaje hapo sasa ?
Hapo kwenye gari na ndege, hivyo Ni mali ya prince wa uarabuni aliyefariki wiki chache zilizopita
Unafahamu kuwa ana kiwanda cha kutengeneza magari Morocco?gari zilikua ni za mobutu zote alikua na marcedes benz zaidi ya 20 , hapo hujahesabu jeep nk
kuhusu ndege alikodi kwa sheikh zaki yamani (alikua waziri wa mafuta wa saudia) ila pia mobutu nae inasemekana alikua na ndege zake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa hivi?Unafahamu kuwa ana kiwanda cha kutengeneza magari Morocco?
Poor mindHapa duniani umeona au kusikia watu wangapi wameoa mapacha?
Unafahamu kuwa ana kiwanda cha kutengeneza magari Morocco?
Hivi na Yale majumba yake parisi, bado yapo au yalitaifishwaNdiyo wake zake bado wana hisa wakishirikiana na mfalme wa Morocco
Motoni kumedamshiHuyu yupo moto ni
Duh alikuwa hatarHapo katika majina ya wake zake, wana msjumba Lisbon pia
Hilo liko wazi kabisa, Magufuli ni Dikteta hatari sana Kama tu alivyokuwa MobutuNimesoma uzi wa Bibie Sky Eclat kule Jukwaa la Historia na nimeshangaa kuona mfanano mkubwa kati ya Rais wa zamani wa Zaire na mmoja wa Marais wa sasa wa taifa moja la Afrika Mashariki:
Mfano:
Mobutu alipendelea kupeleka miradi mikubwa ya maendeleo kijijini kwao Gbadolite.
Alipenda kununua midege mikubwa mikubwa aina ya Concord kutoka Ufaransa kwa malipo cash. Mara nyingi midege hii ilipark tu Uwanja wa Ndege wa Kijijini Kwao Gbadolite.
Alijenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kijijini kwao Gbadolite.
Alijenga hospitali kubwa ya Rufaa kijijini kwao
Alihakikisha mahoteli Makubwa, mabenki na taasisi nyingine za kitaifa zinakuwa na matawi Kijijini kwako
Alipenda wanawake wazuri
Alipenda kuua, kutesa, kupoteza Wapinzani wake
Aliwanunua Wapinzani wake pale alipokuwa hawezi kuua ama kupoteza
Mawaziri wote walioonekana "wabishi" walifukuzwa kazi na/ama kuuawa
Mara nyingi aliwafukuza kazi ghafla viongozi wake na baadaye kuwateua kwa kuwapandisha cheo
Alifungia vyama vya siasa, NGOs na Vyombo vya habari
I See too many similarities, hebu someni na nyinyi halafu mseme:
Kwa hisani ya Sky Eclat wa JF
President Mobutu Sese Seko of Zaire
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa kiongozi wa kijeshi dikteta huko Zaire. Mke wake wa kwanza Marie-Antoinette Mobutu, alifariki kwa ugonjwa wa moyo mwaka 22 October 1977 Genolier, Switzerland akiwa na umri wa miaka 36. 1 May 1980 alimuoa Bobi Ladawa pamoja na pacha mwenzake...www.jamiiforums.com
Hata baba yangu alimununulia shamba mdogo wake mama yangu na kuzaa naye leo namuita mwanaye mdogo wangu.B
Baba yangu mzazi alioa mtu na mdogo wake toka nitoke.