President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

Hapo kwenye gari na ndege, hivyo Ni mali ya prince wa uarabuni aliyefariki wiki chache zilizopita

gari zilikua ni za mobutu zote alikua na marcedes benz zaidi ya 20 , hapo hujahesabu jeep nk
kuhusu ndege alikodi kwa sheikh zaki yamani (alikua waziri wa mafuta wa saudia) ila pia mobutu nae inasemekana alikua na ndege zake binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kuwa ana kiwanda cha kutengeneza magari Morocco?
 
Maisha ya Mobutu yana historia za kuvutia, ila matukio mengi yanafanana kwa ukaribu sana na awamu pendwa nchi jirani.... sijui nilikuwa wapi sikuwahi kusoma simulizi hii.
 
Nimesoma uzi wa Bibie Sky Eclat kule Jukwaa la Historia na nimeshangaa kuona mfanano mkubwa kati ya Rais wa zamani wa Zaire na mmoja wa Marais wa sasa wa taifa moja la Afrika Mashariki:

Mfano:

Mobutu alipendelea kupeleka miradi mikubwa ya maendeleo kijijini kwao Gbadolite.

Alipenda kununua midege mikubwa mikubwa aina ya Concord kutoka Ufaransa kwa malipo cash. Mara nyingi midege hii ilipark tu Uwanja wa Ndege wa Kijijini Kwao Gbadolite.

Alijenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kijijini kwao Gbadolite.

Alijenga hospitali kubwa ya Rufaa kijijini kwao

Alihakikisha mahoteli Makubwa, mabenki na taasisi nyingine za kitaifa zinakuwa na matawi Kijijini kwako

Alipenda wanawake wazuri

Alipenda kuua, kutesa, kupoteza Wapinzani wake

Aliwanunua Wapinzani wake pale alipokuwa hawezi kuua ama kupoteza

Mawaziri wote walioonekana "wabishi" walifukuzwa kazi na/ama kuuawa

Mara nyingi aliwafukuza kazi ghafla viongozi wake na baadaye kuwateua kwa kuwapandisha cheo

Alifungia vyama vya siasa, NGOs na Vyombo vya habari

I See too many similarities, hebu someni na nyinyi halafu mseme:

Kwa hisani ya Sky Eclat wa JF

Waliomwondoa Mobutu Ikulu i.e Kaguta na Kagame ndio maswahiba wakuu wa huyo Rais wa nchi tajwa, hakuna ajuaye mzimu wa Mobutu Sese Seko uliibukia wapi.
 
Nimesoma uzi wa Bibie Sky Eclat kule Jukwaa la Historia na nimeshangaa kuona mfanano mkubwa kati ya Rais wa zamani wa Zaire na mmoja wa Marais wa sasa wa taifa moja la Afrika Mashariki:

Mfano:

Mobutu alipendelea kupeleka miradi mikubwa ya maendeleo kijijini kwao Gbadolite.

Alipenda kununua midege mikubwa mikubwa aina ya Concord kutoka Ufaransa kwa malipo cash. Mara nyingi midege hii ilipark tu Uwanja wa Ndege wa Kijijini Kwao Gbadolite.

Alijenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kijijini kwao Gbadolite.

Alijenga hospitali kubwa ya Rufaa kijijini kwao

Alihakikisha mahoteli Makubwa, mabenki na taasisi nyingine za kitaifa zinakuwa na matawi Kijijini kwako

Alipenda wanawake wazuri

Alipenda kuua, kutesa, kupoteza Wapinzani wake

Aliwanunua Wapinzani wake pale alipokuwa hawezi kuua ama kupoteza

Mawaziri wote walioonekana "wabishi" walifukuzwa kazi na/ama kuuawa

Mara nyingi aliwafukuza kazi ghafla viongozi wake na baadaye kuwateua kwa kuwapandisha cheo

Alifungia vyama vya siasa, NGOs na Vyombo vya habari

I See too many similarities, hebu someni na nyinyi halafu mseme:

Kwa hisani ya Sky Eclat wa JF

Hilo liko wazi kabisa, Magufuli ni Dikteta hatari sana Kama tu alivyokuwa Mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini hiyo nchi ya Afrika mashariki, na wao eti wana idara ya intelijensia pamoja na jeshi.
Huyo Jiwe Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga alifikaje ikulu?
 
Back
Top Bottom