President Mobutu Sese Seko of Zaire

Huyu aliabudiwa kuliko Mungu , aliimbiwa hadi kwaya za kumtukuza kama wafanyavyo wasanii wa Tanzania wenye nyimbo za kumtukuza mtu huku yeye akikenua meno yote.

Leo yuko wapi ?
View attachment 1327571
[emoji1241]TANGU UFISADI NA VIZAZI VYA MAFISADI WALIVYOKOMESHWA,NCHI HII IMETOKEA KUWA NA WATU WENYE MSONGO WA MAWAZO KWA KIWANGO HIKI!

wale wote tuliozowea kuishi kwa mfumo wa halali tokea mwanzo,mbona tuko imara mpaka sasa?

Wanaolia wengi kabisa ni makundi haya.

*Madalali wa viwanja.

*Madalali wa majumba.

*Mahawara na nyumba ndogo za wastaafu na watumbuliwa.

*Madalali wa kisiasa almaarufu kama wapambe wa kisiasa.
*Wanasiasa wasakatonge au bendera fuata upepo.

*Vyeti fake na mishahara fake victims.

TUNAIONA TANZANIA HALALI NA MPYA IKISTAWI KATIKA AWAMU HII.

[emoji1241]MAGUFULI[emoji818][emoji818][emoji818]2025[emoji288]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RC Makonda unamkosea heshima. Eneo la vyeti fake, halii yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakazi wa Serikali wala hawana shida, wengi wao wamejiadjast kulingana na mdundo wa ngoma uliopo, na ndio purchasing power kubwa iliyobaki huku mtaani. Hao wote uliowataja hawana athari zozote kwenye uchumi wa Tanzania.
 
Angalia waliko wapambe wa Mobutu kama huyo mwimbisha kwaya hapo kwenye video
 
Dikteta Mbowe ndo ataishia kama Mobutu, CCM kila baada ya miaka 5/10 wanabadilisha Uongozi, sasa yupi ni Mobutu?
 
Huyu aliabudiwa kuliko Mungu , aliimbiwa hadi kwaya za kumtukuza kama wafanyavyo wasanii wa Tanzania wenye nyimbo za kumtukuza mtu huku yeye akikenua meno yote.

Leo yuko wapi ?
View attachment 1327571

ila uzuri mobutu yeye aliwachora tu, mobutu ni mtu aliyekua anakuchora tu ukijipendekeza , ukifuatilia mahojiano yake alikua anaulizwa baadhi ya maswali afu anajibu kushoto, hao waliomsifu sio wote alifurahishwa nao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
familia ya mobutu imepitia matatizo mengi , the man was sad
1993-kifo cha mwanae wa kwanza
1994- kifo cha mwanae wa pili
1996- yeye mwenyewe anaugua hoi
1997-mobutu anakufa
1998-mwanae anakufa
1999- kaka wa mkewe anakufa
2002-kaka ya mobutu anakufa
2004-mtoto mkubwa wa mobutu anakufa
2007-mke wa mtoto wa mobutu anakufa
2012-kaka yake mobutu anakufa
NB
1993-1995 pia kulikua na vifo
kwa kifupi familia yake iliandamwa na vifo


Sent using Jamii Forums mobile app
 

mobutu aliwahi kupewa ndege na JF kennedy , hii inamaanisha kennedy nae alikua na pesa wakati huo
kuhusu utajiri wake kuna clip amejitetea anasema yani kwakua anamiliki nyumba kadhaa basi huo ni utajiri watu wanakuza sana vitu, anadai wanawachanganya warithi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani waliyekuwa wanamtumikia aliwapukutisha , Maana Mungu hauwi watu anaumba tu , bado wewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…